Uchaguzi 2020 Sababu za msingi kwanini nimchague huyu ndani ya CHADEMA licha ya watia Nia kibao

Uchaguzi 2020 Sababu za msingi kwanini nimchague huyu ndani ya CHADEMA licha ya watia Nia kibao

Rais wa nchi hii ni Mh. John Pombe Magufuli. Chadema mwaka huu mtadondokea pua maana kura zitakuwa chache sana na wabunge ni kama sifuri tu.
 
Tunashukuru sana kwa kutupatia mawazo yako mkuu
Watia nia Mpaka sasa
1. Tundu Lissu
2. Freeman Mbowe
3. Lazaro Nyalandu
4. Peter Msigwa,

Hawa ni watia nia ambao ninawatenga katika makundi matatu

KUNDI A
Wanaoonekana kuimiliki chadema kimtizamo na mawazo ya waliowengi japo wana maono na ni wachapakazi

KUNDI B
Wanaoonekana Kuwa wapya na wana uwezo wa kuongoza

KUNDI C
Wanaoonekana kutoaminiwa kutokana na kosa walilofanya CHADEMA Mwaka 2015,

Hapo nayeona anafaa kukaa kundi B ni TUNDU ANTI PASS LISSU
Kwanza ana uwezo mkubwa sana kulinganisha na Wengine

Ana nia ya dhati na amedhamiria hatanii,

Uwezo wake wa Kuongoza unaonekana dhahiri

SABABU ZA KWANINI SIMPENDELEI MBOWE
Moja pamoja na kazi nzuri anayofanya Mbowe ila CHADEMA kwa muda mrefu imeonekana kuwekwa mfukoni , japo si kweli , lakini ilo yapaswa lifutike kwa kutomsimamisha,

Pili, Mbowe anatakiwa astaafu siasa ndani ya CDM maana aliyoyafanya ni makubwa na Ameshaweka Heshima

Tatu, Hana uthubutu wa Lissu


KWANINI SIMPENDELEI NYALANDU
Pamoja na watu kumuona ana uwezo mkubwa kimataifa na kiintelijensia, lakin tuwape kwanza waliosiginwa vya kutosha ndani ya CHAMA, Ku avoid makosa ya Kumpa wa Kuja alafu baadae akahama,

KWA MSIGWA
niwe Mkweli Msigwa siyo Presidential Material at all


Nampendekeza lissu Japo naye anapaswa kupunguza madhaifu yake
Pitia hapa

Ufanano na utofauti wa Magufuli na Lissu kwenye ngazi ya juu ya uongozi wa nchi
Britanicca
 
Back
Top Bottom