Mwenyekiti kamaliza kutoboa za CDM, makamu mwenyekiti cdm nae lazima nae atoboe za CCM.Lissu lazima atoboe pApuchi za ccm zote
Naunga mkono hojaAnalysis iko vizuri, ingawa hujamtendea haki Mch Msigwa kwani uwezo wake ni mkubwa sana ukilingalisha na Rais tuliye naye sasa.
Kama jiwe alieongeza ajiri mamilioniKumuamini Mwanasiasa ni matumizi mabaya ya AKILI.
Siku atakayopitishwa T.A.M.L kugombea urais wa JMT kwa tiketi ya CDM,ndio siku nitaenda kufanya booking ya usafiri wa kunirejesha nyumbani ili by siku ya uchaguzi niwe Dar,kupiga kura yangu kwake.Lissu ana kura yangu na wana familia wangu wote! Asipoteuliwa wala sitoenda hata kupiga kura
Kwa Tanzania yeyote anaweza kuwa rais kama Jiwe anaabudiwa kama Rais basi hata Msigwa is a very fit president!niwe Mkweli Msigwa siyo Presidential Material at all
SureWote hawafai..
Lissu ni more mwanaharakati ..
Mbowe mfanyabiashara more..
Ila still Bora Tundu Lissu kuliko Magufuli..
Ufanano na utofauti wa Magufuli na Lissu kwenye ngazi ya juu ya uongozi wa nchiWote hawafai..
Lissu ni more mwanaharakati ..
Mbowe mfanyabiashara more..
Ila still Bora Tundu Lissu kuliko Magufuli..
Lisu wafuasi wake wengi ni malofa wa mitandaoni ambao wala hawako kwenye vikao vya maamuzi vya kuamua nani awe mgombea!!!!!! uwanjani wenye wafuasi wengi wa kwanza ni Mbowe ana mtandao wa wachaga nchi nzima wenye pesa na ushawishi kwenye maeneo yao walipo yawe mabaa wanayomiliki nkIli chadema iendelee kusomeka kwenye lamani ya siasa za Tanzania,ni lazima waende na Lissu wakichagua mwingine hapo ndio watakuwa wamejichimbia kabri lao wenyewe.
sasa mbowe na nyalandu nani mwenye ushawahi mkuu?Mbowe atapitishwa halafu atabadili gia angani na kumpisha Lazaro Nyalandu agombee urais kupitia Chadema!
Tatizo la lisu moja tu,,akiwekewa kauzibe ghafla,,cdm wanafanyaje?ile kitu wanaita kujump bail?
Lisu wafuasi wake wengi ni malofa wa mitandaoni ambao wala hawako kwenye vikao vya maamuzi vya kuamua nani awe mgombea!!!!!! uwanjani wenye wafuasi wengi wa kwanza ni Mbowe ana mtandao wa wachaga nchi nzima wenye pesa na ushawishi kwenye maeneo yao walipo yawe mabaa wanayomiliki nk
Mbowe akienda popote hakosi mapokezi kuna timu za wachaga za kumpokea na magari na honi bila kulipa hata mia.Mtandao wa Mbowe ndio Lowasa aliutumia kujaza ule umati maviwanjani walitoa mabasi bure kusafirisha watu,boda boda kuwajazia mafuta nk
Lisu network hana tegemeo lake kudandia network ya mbowe
Nyalandu pesa ipo na anaiva vizuri na Mbowe .Ni watu wenye uwezo wanaoweza ongea Lugha inayofanana na wako club moja ya elites wenye nazo ndani ya Chadema.Nyalandu Ana uwezo wa kurusha helikopta nchi nzima kwa pesa zake akajaza mafuta mabasi ya kubeba watu na bodaboda
Mbowe na Nyalandu mmojawapo lazima achukue ugombea uraisi .Na yeyote akichukua kati yao wala hawana shida wataungana mkono sababu wote ni Chadema club of the elites.Tundu Lisu na wengine ni out of the equation
Tundu Lisu ajiandae tu kisaikolojia .Sema na ujeuri wake umechangia.Akina Mbowe walimuambia arudi nchini awe karibu na wanachama yeye akatoa sharti kuwa atarudi kwa sharti moja kuwa chadema wamteue kwanza kuwa mgombea uraisi ndio arudi.!!
Mbowe na team yake wakaona Lisu anajifanya kuwashinikiza kama nani? ndio wakafungulia mlango kuwa kila anayetaka kugombea achukue form na wao wakachukua kumwonyesha Lisu wazi kuwa ana ji over estimate he is nobody ndani ya CHadema he is like anybody!!!
Lisu Ajiandae tu kutimukia ACT wazalendo akagombee aambulie vikura vichache vya Zanzibar ambako Act wazalendo walau ipo huku bara hataambulia kitu mitandao ya Mbowe itampa kura Mbowe au Nyalandu na hivyo kumfanya LISU abaki tu katoa mimacho kwenye miwani bila ushindi wowote!!
Sema nyie wapiga kura wa upinzani wa mitandaoni!!!! Uzuri hamko kwenye maamuzi ya nani agombee!!!Sisi wapiga kura wengi wa upinzani, tunamkubali Lissu kuliko mgombea yoyote wa upinzani, awe cdm au chama kingine chochote cha upinzani.
Ndio maana CHADEMA imeamua wagombea wengi wachukue fomu sababu Lisu mwenyewe hajulkikani atarudi au harudi!! Wanaona wasipoteze muda kuhangaika na mtu asiyeeleweka kurudi kwake mara ohhh nitarudi Magufuli akiondoka madarakani, mara ohh naogopa kurudi sababu ya wasiojulikana mara ohh kageuka nagombea uraisi !!! sasa anagombeaje wakati Raisi Magufuli bado yuko madarakani na hao anaowaita wasiojulikana kwani wameondoka nchini?. Kuhusu kurejea kwa Lisu hapa nchini, tatizo ni lile kundi la watu wasiojulikana
Sema nyie wapiga kura wa upinzani wa mitandaoni!!!! Uzuri hamko kwenye maamuzi ya nani agombee!!!
Lisu wenu mapema asubuhi anapigwa chini hapewi ugombea yule mark my words jiandae tu kisaikolojia usije dodondoka chini mwambie na Lisu
Ndio maana CHADEMA imeamua wagombea wengi wachukue fomu sababu Lisu mwenyewe hajulkikani atarudi au harudi!! Wanaona wasipoteze muda kuhangaika na mtu asiyeeleweka kurudi kwake mara ohhh nitarudi Magufuli akiondoka madarakani, mara ohh naogopa kurudi sababu ya wasiojulikana mara ohh kageuka nagombea uraisi !!! sasa anagombeaje wakati Raisi Magufuli bado yuko madarakani na hao anaowaita wasiojulikana kwani wameondoka nchini?
Lisu ni mental case