Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

Hakuna lolote sema tu katika nchi yetu hukumu katika kesi mbalimbali mara nyingi uamuliwa na mambo makubwa mawili nayo ni umaarufu na fedha.
 
Zzombie anakula bata mtaani na alichukua mafao yake kabisa. Tabia ya kutenda mambo kwa mkumbo au mhemko haijawahi kumuacha mtu salama.
Inasikitisha sana, hawa askari wenye vyeo vya chini huwa wanaingia kwenye trap kwa kupokea order tu. Mwisho wa siku mambo yakibuma wanabaki wenyewe, vigogo wanapeta.
 
Kama wasipomtaja inakuwaje au na binti nae asipomtaja??
 
Kama unadhani ni maoni yangu unakosea sana mkuu. Hizo references nimezitoa kwenye hukumu za mahakama za hapa nchini na zilizohukumiwa kwa kutumia sheria za nchi hii. Kama huamini hata matukio ya kweli, basi hilo ni tatizo lako binafsi mkuu.
Ungeweka hizo reference za hukumu ili tujiridhishe mkuu...
 
Hata binti asipomtaja, Madereka atamburuza mahakamani tu. Ushahidi upo. Lakini hatimaye ataachiwa huru kwa mujibu wa sheria mkuu.
Ila mkuu kumbuka huwezi mpeleka mtu mahakaman kwa hisia au fununu tu hata kama atatokea mahakaman

Chukulia haya.
1 Katika maelezo binti aliyoandikwa polisi hakusema huyo afande ni yupi si kwa jina wala kwa sura wala kwa namna yoyote

2. Katika maelezo yake pale mahakamani wakati anaongozwa na mwendesha mashtaka hajamtaja huyo afande kwa jina,wala kwa namna yoyote ile

3. Maelezo ya watuhumiwa wanne walochukuliwa polisi hawajamtaja huyo afande kwa jina au sehemu anayopatikana au hata alowatuma kubaka na wao kukana kutumwa na mtu anaitwa afande.

4. Watuhumiwa mahakamani hawamtaji kwa namna yoyote huyo afande na wao kukana kutumwa na mtu anaitwa afande kubaka na kulawiti.

Mkuu kwa issue hii hamna mtu anaweza mkamata huyo afande maana hamna mahala anaonekana kuwepo au kushiriki katika kula njama au kupanga hilo tukio.

Ila kama kunamahala katajwa itakuwa hivyo.
Mkuu sheria si nyepesi hivyo na sheria mm husema inamtetea mwalifu siku zote


Yan madeleka HANA UWEZO HUO na haitaka ije tokea akaweza labda kama huyo mtu anaitwa afande katajwa kwenye maelezo ya mlalamikaji au watuhumiwa. Hii kesi si nyepesi kama unavyofikiria, ni nyepesi kama tukijua binti maelezo yake yakoje na maelezo ya watuhumiwa wale wanne.

MWISHO
Kumbuka saivi tunawimbo wa haki jinai🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maisha banaaaaaa. Mtu asikamatwe kabla ya uchunguzi kufanyika🤣🤣🤣 sheria banaaa🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sheria zilikua za kimila ...unaitwa na wazee wa eneo husika wanakuuliza kijana ww ndo umetenda ama hujatenda ukibisha unaambiwa hebu shika hapo harafu apa kama huku fanya hutadhulika ila kama ulifanya watu wanapiga chepe hiyo hakuna kulisha jitu na kulilinda miaka kibao.
 
Rejea kesi mbili nilizotaja hapo juu halafu uje hapa tena mkuu. Sheria za nchi ndivyo zinavyosema. Labda kama wewe unasheria zako, ziweke hapa tuzidadavue.
Wewe hujui sheria kabisa. Ingekuwa hivyo drug lords wasingefungwa. Kasome accomplice /accessory to crimes concepts
 
Sheria za nchi hazitambui mtu kutumwa mkuu. Hata ukituma wahalifu kumuua mtu na wahalifu kutekeleza mauaji, wewe mtumaji huna hatia hata kidogo.
Sikeeli kukiwq nanushahidi wa wazi mfano mawasiliano yakupanga au kuagiza basi utakamatwa
 
Uko sawa, ila tunakukimbusha kua habari za kua na hatia ama kutokua na hatia uthibitika mahakamani. Ivyo basi kwasasa akamatwe na kufikishwa mahakamani mpaka itakavyokua proved kua hana hatia, ila sio polisi kumaliza juu kwa juu bila utaratibu wa kisheria kufuatwa.

Asante.
 
Mkuu, kumpeleka mahakamani mtu ambaye una uhakika kuwa atashinda kesi ni kuchezea muda na rasilimali za umma. Aa chwe tu aendelee kula bata hadi sheria itakapobadilishwa. Ni nani alikuwa anajua kuwa Zombe na mke wa Msuya wangechomoka mahakamani? Sheria za nchi zinawalinda wahalifu na kuwafunga wasiokuwa na hatia.
 
Nikikutuma ukafanye mapinduzi ya nchi au ukafanye mauaji ya kiongozi muhimu na yakatekelezwa na ikabainika nimekutuma kwa hiyo mimi sitachukuliwa hatua yeyote
 
Nikikutuma ukafanye mapinduzi ya nchi au ukafanye mauaji ya kiongozi muhimu na yakatekelezwa na ikabainika nimekutuma kwa hiyo mimi sitachukuliwa hatua yeyote
Kwa mujibu wa sheria aliyerusha risasi, mkuki, mshale au bomu ndiye mwenye kosa. Yule aliyemtuma yupo huru kisheria. Ukienda kumshtaki mtumaji atachomoa kesi misa ya kwanza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…