Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

Huyu kijana alipewa madaraka akiwa duni sana ! hivi alizaliwa na kukulia wapi , mbona ushamba wake ni wa kutisha sana ?
 
Unamtetea 7ya
 
Uenda walinufaika nae.alipata wapi silaha, magari na askari wa kushirikiana nae kutenda uhalifu.
 
Mwenye kiwanda amfungulie kesi adai fidia za hasara na riba ya usumbufu alizopata pindi sabaya kafunga kiwanda chake sheria inamruhusu atalipwa.
 
KIJANA ALITUMIKA KIKAMILIFU NA MWENYE NYUMBA,KATIKA KUHAKIKISHA JAMII FULANI HAIPUMUI.,...
 
Sabaya ni zaidi ya jambazi. Hata shetani ana unafuu maana amekuwa akifanya uharamia bila hata ya aibu wala uwoga dhidi ya JMT.
Hili jitu, kwa uovu wake, hakistahili kuonewa huruma na mwanadamu yeyote.
 
Huyu wamtoe gerezani kisha wampeleke sokoni Wilayani Hai ili wananchi wenye hasira kali wadili naye.
Bure Wanapoteza raslimali za nchi kwenye mifumo ya kisheria
Sokoni kuna wanyonge hili kundi ni duni kwenye Jamii lilishabikia kuumizwa kwa matajiri ambao ndio uwapa kula yao.
 
Utawasikia wale wakisema ,tumchangie mzalendo pesa za kimuwekea wakili, very shame
 
Utawasikia wale wakisema ,tumchangie mzalendo pesa za kimuwekea wakili, very shame
Kwa kweli ni jambo la ajabu mno, kusikia eti kuna watu wanaweza hata kufikiria kulichangia jambazi kama Sabaya.

Hata majambazi wa huko mitaani ni wachache sana waliowahi kufikia kiwango cha ujambazi cha hili jitu.

Kila siku tunasikia visa vya kutisha vilivyotendwa na hili jitu. Visa ambavyo ni nadra kusikia hata majambazi ya mitaani yakifanya. Jambazi Sabaya lilitenda uovu wote huu kwa kupitia ofisi ya umma. Cha ajabu zaidi, kuna taarifa za uhakika, aliyemteua, marehemu Magufuli alikuwa akijua lakini hakumchukulia hatua wala kumkemea, ikimaanisha alimruhusu aendelee na huo uovu. Ina maana marehemu ana sehemu yake katika huu uovu. Ndiyo maana utawala wa marehemu ulikosa baraka mbele za Mungu na mbele ya wanadamu. Hivi tulikuwa na uongozi wa ajabu kiasi hiki!!!
 

Katika jamii yoyote wapumbavu na wajinga hawakosekani.
 
Wewe takataka inamaana watu zaidi ya 40 wanadanganya? Na yule mbunge wa ccm nae alidanganya? Sabaya ni mtu wangu wa karibu sana. Na nimeishi nae wilaya moja na yote yaliyotendeka nimeyashuhudia kwa macho yangu.
 
Cha kusikitisha kuna watanzania umu umu jamii forum wanamtetea kwa nguvu kubwa sijui ni wanufaika ama walinufaika na ujambazi wa Sabaya.
 
ONGEEENI YOOOTEE ILA KUMBUKENI KUNA WATU FULANI WALIAMBIWAGA MAENDELEO YAO YAMETOSHA WASUBIRI WENGINE,WAKAPELEKEWA WATU KAMA KINA SABAYA,GAMBO,MNYETI,MURRO
KWA KIFUPI K NJARO Na ARUSHA YALIYOKUWA YANAFANYWA NA SABAY NDIYO YALIVYOTAKIWA KU FRUSTRATE WATU WA KULE NA KUKIMBIZA HELA KABISA AND HE DID IT WELL
KULE KWA KIPPI WARIOBA VUNJO WALICHANGA BILIONI 2 YA KUJENGA KILOMITA TATU ZA LAMI,MKUU WA WILAYA ANAKAZANIA HELA APEWE YEYE WAKAKAZA ULIZA KILICHOWAKUTA VIONGOZI WA HUO MCHANGO.... MOTO WA TRA ULIOWAKUTA HADI HUKU DSM
ILIKUWA BALAA KUBWA SANA
 
Inasikitisha, aendelee kunyea kwenye ndoo. Kiongozi anatakiwa awe na maono bila wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…