adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kwamba sabaya na makonda walikuwa pamoja kwenye timu ya kuteka na kuua watu sasa magufuri asingeweza kuwachukulia hatua sababu ndiye aliyekuwa akiwatuma.Naamini mamlaka mbalimbali kwa nafasi zao zilitoa taarifa kwa Mamlaka yake ya uteuzi.
Nahisi faili lenye taarifa za mtuhumiwa mwendazake hakulifanyia kazi...
Iko hivi kwanza hiyo clip haiwezi kuwa ushahidi kuwa hayo ndio pekee yaliyoongelewa,mazungumzo ya sekunde chibi ya 45,mnaekewana nini.na yawezekana kimeandaliwa kipande cha mazungumzo ya kumwosha kama yale ya mawingu.Amanasema uongo ndugu zangu.Sabaya hakuwahi kukifungia kiwanda cha Daren fabrics kama inavyopotoshwa na Malisa Godlisten, hapa chini naambatanisha video yenye ushahidi wa kilichotokea siku ya tukio, ambapo ndugu Speshoz mmiliki wa kiwanda hicho alikubali kosa la kutofuata utaratibu halali wa serikali na kukiri kuufuata upya utaratibu huo...
Kwahiyo kigezo cha kuwa mzalendo ni kuwa wa nne katika kukusanya kodi? Hivi uongozi hauna ethics? Kuna mambo ukifanya yanaondoa kabisa dhana ya kazi njema mtu aliyeifanya.Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya...
Hii ni dalili ya mtindio wa ubongo. CHADEMA wanahusika nini na hii kesi ?Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya...
... wanamshughulikia kweli kweli!Saa hizi kijana mkubwa kawa msosi wa prison fc
Wewe ni mshamba wa sheria. Japo mimi sifahamu vizuri sheria lakini huu sio ukanusho wa tuhuma dhidi yake. Wewe mfate yule anayedaiwa kubugudhiwa vinginevyo tarehe 18 utasikia mashtaka yameongezwa. Na kumbuka Sabaya alikuwa muovu sana ndiyo mara ya kwanza kusikia Nchi ina kiongozi jambaziHatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya...
Video haijajibu tuhuma, mleta mada alisema kabisa kuwa TRA walikanusha, Wizara ikaingilia kati, akaweka na evidence, sasa wewe unakuja na clip ya sekunde kadhaa unatufanya watoto?Sabaya hakuwahi kukifungia kiwanda cha Daren fabrics kama inavyopotoshwa na Malisa Godlisten, hapa chini naambatanisha video yenye ushahidi wa kilichotokea siku ya tukio, ambapo ndugu Speshoz mmiliki wa kiwanda hicho alikubali kosa la kutofuata utaratibu halali wa serikali na kukiri kuufuata upya utaratibu huo...
Maskini, Pole sana, muda huu ameshalalaHatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya...
Uchagani ni tatizo watu wanadhani eti walionewa saaana! Huyu Sabaya anawezakuwa na ubaya wake lakini kikubwa ni Mbowe hawamuoni ktk siasa. Wako tayari kuchanga na kuhonga ili tu ushahidi wa uongo utengenezwe. Huyo Malisa ni bonge la ignorant, sasa naye kawa thinker wa kuaminiwa. Kila siku ni ukabila tu!Sabaya hakuwahi kukifungia kiwanda cha Daren fabrics kama inavyopotoshwa na Malisa Godlisten, hapa chini naambatanisha video yenye ushahidi wa kilichotokea siku ya tukio, ambapo ndugu Speshoz mmiliki wa kiwanda hicho alikubali kosa la kutofuata utaratibu halali wa serikali na kukiri kuufuata upya utaratibu huo.
Rai Yangu, Sabaya akiwa Clouds Tv alikiri uwepo wa Project ya kumchafua inayofadhiliwa na Wahalifu aliowadhibiti kule Hai, Miongoni mwa Vijana wanaolipwa kufanya propaganda ni Malisa, Kumbusho Dawson na Twaha Mwaipaya. Acheni huu mchezo nyie vijana wadogo sana.View attachment 1811645
Toa ufafanuzi wa press ya TRA Kilimanjaro halafu ndo utushawishi kusikia hoja yakoSabaya hakuwahi kukifungia kiwanda cha Daren fabrics kama inavyopotoshwa na Malisa Godlisten, hapa chini naambatanisha video yenye ushahidi wa kilichotokea siku ya tukio, ambapo ndugu Speshoz mmiliki wa kiwanda hicho alikubali kosa la kutofuata utaratibu halali wa serikali na kukiri kuufuata upya utaratibu huo...
Ukisoma charge sheet, na propaganda zinazopigwa na vijana wa CHADEMA iko wazi makosa ya Sabaya ni ya kulazimisha. Eti ambazo kapata sh 35,000.00. Wapiga filimbi wa CHADEMA wmetunga uongo wa makosa ya kubaka...
Hivi huyu Sabaya ni nani mpaka watu wamchafue? Nini amefanya nchi hii??Sabaya hakuwahi kukifungia kiwanda cha Daren fabrics kama inavyopotoshwa na Malisa Godlisten, hapa chini naambatanisha video yenye ushahidi wa kilichotokea siku ya tukio, ambapo ndugu Speshoz mmiliki wa kiwanda hicho alikubali kosa la kutofuata utaratibu halali wa serikali na kukiri kuufuata upya utaratibu huo.
Rai Yangu, Sabaya akiwa Clouds Tv alikiri uwepo wa Project ya kumchafua inayofadhiliwa na Wahalifu aliowadhibiti kule Hai, Miongoni mwa Vijana wanaolipwa kufanya propaganda ni Malisa, Kumbusho Dawson na Twaha Mwaipaya. Acheni huu mchezo nyie vijana wadogo sana.View attachment 1811645