Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
InasikitishaHalafu wanatokea vilaza mapunguani kumtetea huyo kenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InasikitishaHalafu wanatokea vilaza mapunguani kumtetea huyo kenge
Sana mkuuInasikitisha
Vyovyote itakavyokuwa Sabaya alikuwa shetani anahitaji adhabu Kali Sana ili iwe fundisho.Watu wengi tunamlaumu Sabaya kwamba ni mkora, mtu mbaya sana, jambazi, mbabe na majina mengi mengi yenye kuendana na hayo...
MUNGU NI MWEMA KWETU WATANZANIA. Ametuondolea fashisti nduli idd amini II kutoka CHATOMagufuli alikuwa ni zaidi ya idiamini.
wafuasi wa ponsio pilato wanamwita sabaya mzalendo 😁😁😁Mwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John...
Huyu sabaya atakuwa anavuta bangi. Hizi siyo akili za kawaida jamani. LolMwaka jana mwishoni mfanyabiashara na mbunifu wa mavazi Jeffery Mmbungu maarufu kama @Speshoz alifungua kiwanda cha vinywaji vikali, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Kiwanda hicho kinaitwa Daren Fabrics Industries Ltd kinazalisha kinywaji chenye jina Faru John..
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.Sabaya hakuwahi kukifungia kiwanda cha Daren fabrics kama inavyopotoshwa na Malisa Godlisten, hapa chini naambatanisha video yenye ushahidi wa kilichotokea siku ya tukio, ambapo ndugu Speshoz mmiliki wa kiwanda hicho alikubali kosa la kutofuata utaratibu halali wa serikali na kukiri kuufuata upya utaratibu huo...