Sababu za Senzo kuondoka Simba ilikuwa usajili wa Morrison, Je ni kweli?

Uendeshaji mbovu wa club, na hataki kukaa karibu na Morisson.

Kwann uzunguke??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
mkuu
Mkuu waheshimu watabiri🤣🤣🤣🤣🤣
 
Rudi kukumbusha porojo basi[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkataba wake na Yanga unaisha leo tarehe 31/07/2022! Na tamko la klabu limesema huyo Senzo ameamua yeye mwenyewe, na kwa hiyari yake kuto ongeza mkataba mwingine! Na sababu aliyoitoa ni ya kwenda kuungana na famlia yake ambayo amekuwa mbali nayo kwa miaka 3 sasa!

Kwa hiyo alazimishwe? Kwa sababu kuna mtu alitabiri kuondoka kwake? Au kuna mahali huyo Senzo ameandika kujiondoa Yanga kwa sababu ya uongozi mbovu?
 
Mtabiri alimaliza kazi yake kitambo, leo msauzi mkataba umeisha wala hajafukuzwa ila kasema haongezi mkataba bali anarudi kwao kuungana na familia ila hajaweka wazi kuwa hapa bongo amekosa nyumba ya kuishi na familia yake 😀

Mtabiri hoyeee 😂😂
 
Ishu ya kuwa mbali na familia ni uwongo
Familia ya Senzo ilikuwa hapa Bongo wakati akiwa Simba. Mechi nyingi alikuwa anaenda Taifa na watoto wake wamevaa jezi za Simba.

Labda alivyohamia Yanga maisha yakawa magumu ndio wakaondoka
 
Na si ajabu akaibukia AZAM FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…