Sababu za Simba kuachana na CEO wao ni zipi

Madiber

Member
Joined
Dec 9, 2019
Posts
65
Reaction score
77
Klabu ya Simba imetangaza kuachana na CEO wake raia wa Rwanda bwana Regis Francos kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao je sababu hizo zaweza kuwa ni zipi? mbona Simba inafanya vizuri katika ligi?
 
Ni Makubaliano ya pande zote mbili. We unachotaka kujua hapo ni nini wakati ushaambiwa!!?
 
Wanyarwanda wanaogopeka kwenye mataifa mengi ukanda huu
Yule alikuwa auze ramani na Siri nyingi za Taifa letu
Kongole Kwa serikali kuchunguza na kumnyima kibali
Serikali iondoe na Wanyarwanda wengine waliojaa Serikalini.
 
Mpira una majasusi sana na baadhi ya nchi hutumia huo mwanya kupata taarifa wanazotaka
Utakumbuka Arshavin alikuwa jasusi wa kremlin kwa muda mrefu pale London
Sasa huyu jamaa alisemekana kuwa ni jasusi mkubwa kutoka Kigali na team anayokuja kuongoza ndio ya kina kisugu na pasi milioni mashabiki wote ni oyah oyah Sasa jamaa atakuwa anachota taarifa bila shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…