I ilala yetu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 1,451 Reaction score 2,348 Nov 26, 2024 #41 SAYVILLE said: Hivyo ni visingizio tu. Unaposema watawala kucontrol timu za mpira ina maana kuna upangaji wa matokeo pia. Wewe unaunga mkono hilo jambo? Click to expand... Wewe jamaa upo bongo hii hii au unazungumza kutokea wapi .. Nini uschojua au unanichekecha
SAYVILLE said: Hivyo ni visingizio tu. Unaposema watawala kucontrol timu za mpira ina maana kuna upangaji wa matokeo pia. Wewe unaunga mkono hilo jambo? Click to expand... Wewe jamaa upo bongo hii hii au unazungumza kutokea wapi .. Nini uschojua au unanichekecha
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Nov 26, 2024 #42 ilala yetu said: Wewe jamaa upo bongo hii hii au unazungumza kutokea wapi .. Nini uschojua au unanichekecha Click to expand... Sijapinga kinachosemwa ila nipe tafsiri ya kucontrol mpira wa bongo
ilala yetu said: Wewe jamaa upo bongo hii hii au unazungumza kutokea wapi .. Nini uschojua au unanichekecha Click to expand... Sijapinga kinachosemwa ila nipe tafsiri ya kucontrol mpira wa bongo
I ilala yetu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 1,451 Reaction score 2,348 Nov 26, 2024 #43 SAYVILLE said: Sijapinga kinachosemwa ila nipe tafsiri ya kucontrol mpira wa bongo Click to expand... Na siyo mpira tu ndugu yangu siasa ya kwanza ya nchi hii ni Simba na yanga.. Ukizikamata hizi team vizuri umeweza kuitawala Tanzania
SAYVILLE said: Sijapinga kinachosemwa ila nipe tafsiri ya kucontrol mpira wa bongo Click to expand... Na siyo mpira tu ndugu yangu siasa ya kwanza ya nchi hii ni Simba na yanga.. Ukizikamata hizi team vizuri umeweza kuitawala Tanzania