ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Wewe jamaa upo bongo hii hii au unazungumza kutokea wapi ..Hivyo ni visingizio tu. Unaposema watawala kucontrol timu za mpira ina maana kuna upangaji wa matokeo pia. Wewe unaunga mkono hilo jambo?
Nini uschojua au unanichekecha