Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati JK anapambana kujenga shule za kata simlimuona mjinga!.Sababu ya elimu duni kwa kizazi cha zamani na hata Sasa bado Kuna asilimia kubwa isiyo na elimu nzuri ila tunakoelekea asilimia kubwa watakuwa na elimu nzuri nambo mazuri yatakuja na kazi zitapatikana nyingi tofauti na Sasa hizo za Kila mtu kuwa chinga tena eneo moja la mjini maana vijijini watu hawana elimu na kufanya uwekezaji usiwepo vijijini maana wao wanajua kuishi ni kula tu na maisha mengine yenye kusipport jamii na kuleta ajira wamewaachia watu wa mjini tu.
Tatizo halianzii kwenye vitu vya thamani peke yake tatizo ni ujinga na umasikini ndo bado vipo kwa watu wengi Kwanza serikali ikazane kuondoa ujinga kwa watu Ili waone umuhimu wa kutumia vitu vya kisasa alafu pale watu wanafanya kazi walipwe malipo mazuri kama ni wale wanaokosa mitaji na Nia ya kufanya biashara wanayo basi wakopeshwe mitaji kwa riba nafuu na popote panapohitaji pesa kama chuo na shule za elimu Bure pesa ipelekwe huko mfano Sasa hivi wanachuo wengi wanapitia maisha magumu kwa kukosa mikopo ya asilimia kubwa kitu kinachofanya wanashindwa kununua vitu vyenye thamani, wafanyakazi hivyo hivyo mpaka Leo mtu kama mwalimu anashindwa kununua hata mashine ya kufua nguo za familia yake inakuwa kama anasa Sasa hivyo vitu vya thamani vinakuwa kama vile ni vibaya au kama vile vina madhara kumbe ni ujinga na umasikini ndo kikwazo.Hatuzalishi vitu vyenye thamani. Serikali inawajibu wa kuhakikisha nchi inazalisha vitu vy thamani, katika vionjo vya maendeleo tumekosa viongozi bora.
Kiingereza kisiwe kwa kuunganisha makabila ila kiwe kwa kutuunganisha kimataifa ambayo ni level ya juu na kutusaidia kupata maarifa makubwa ya kimataifa maana ni lugha inayotumika kupata maarifa mengi tofauti na kiswahili kinachotuunganisha ndani ya Nchi peke yake, hivyo kufundisha watu wetu kiingereza bado ni jambo la muhimu sana na lazima pia.Kingereza kisingeweza kuunganisha makabila zaidi ya 100 yaliyopo hapa Tanzania. Wengi wangerudia kuongea lugha za makabila yao maana kingereza ni kigumu na ni lugha ya kigeni. Na hicho kingeleta ukabila alioupiga vita Nyerere.
Ni kweli tunamshukuru kwa hilo hata hili la kuongeza vyumba vya madarasa pia tunashukuru litasaidia kuondoa ujinga ila bado shule za kata zinahitajika tena Nchi nzima maana zile za zamani zilijengwa kwaajili ya idadi ya waliokuwepo, na kingine Advance napo wamepasahau sana kama vipi wapafute wawekeze kwenye vyuo, ujinga siyo mzuri kabisa imagine mtu anadanganywa teknologia ni shetani na kwa kukosa elimu anakubali Ili na kuendelea kuishi kama mnyama wa msituni kitu kinacholeta ukosefu wa ajira maana hata watu wakiwekeza kama watu wanaogopa kutumia hivyo vitu kwasababu ya ujinga si biashara zitakufa?Wakati JK anapambana kujenga shule za kata simlimuona mjinga!.
Huo muungano wa makabila zaidi ya 100 umesaidiaje Tz kutoka kwenye umasikini na kufanya ushindani wa uchumi wa maana?.......jilani wetu Kenya Gdp yake na jaribu mara mbili na ya kwetu, Sudani Ethiopia Tunisia Morocco Botswana Zimbabwe Angola wote wako juu kiuchumi kuliko sisi, bado tunasifia sera zatu zilizo tufanya tubaki nyuma wakati tunaongoza kwenye rasilimali.Kingereza kisingeweza kuunganisha makabila zaidi ya 100 yaliyopo hapa Tanzania. Wengi wangerudia kuongea lugha za makabila yao maana kingereza ni kigumu na ni lugha ya kigeni. Na hicho kingeleta ukabila alioupiga vita Nyerere.
I totally agree with you...Ukishaona mipango ya Nchi inaongozwa na sera za chama ambazo zinaandaliwa wakati wa uchaguzi, hapo kama Taifa msahau maendeleo....kazi iendelee...hapakazi tu....kilimo kwanza...na takataka nyingine. Miaka 5 ikipita wanabuni msemeo mwingine.
Kila kiongozi na hata ambao wasingetakiwa kushabikia siasa anatembea na ilani ya chama mfukoni. Hatuna mipango ya maendelo ya muda mrefu ambayo haitafungama na siasa. Nasasahivi ....."eat according the length of your rope"
Tanzania, kwa historia yake, rasilimali zake (watu na mali) na amani yake ingekuwa moja ya nchi tano Afrika zinazoongoza. Lakini kiuhalisia, inashindwa mbali na vinchi kama Senegal, Cote d'Ivoire, Botswana, Ghana. Ingawaje tuna GDP kubwa kuliko nchi hizo.
Hakuna mchawi, isipokuwa tumeanza vibaya baada ya kupata uhuru, na hadi sasa baadhi ya makosa yaleyale tunaendelea nayo. Makosa makubwa:
1 - Kushabikia mno siasa kuliko uchumi
2 - Kupuuza elimu na rasilimali watu
3 - Kupuuza kilimo ambacho ndiyo mategemeo ya wengi
4 - Kutokuwa na viongozi wengi wenye upeo wa fikra na exposure (matokeo yake kiongozi mmoja anadiriki kudai kujua kila kitu, mungu mtu)
5 - Kutokuwa na dira, stability ya sera za uongozi (kila kiongozi anaanza upya)
6 - Kupuuza Kiingereza (hii watu hawataifahamu, lakini ni kweli nchi za Afrika ambazo raia wake wengi wanafahamu Kiingereza,
Kifaransa, Kireno, Kijerumani, Kispaniola, Kiarabu, huwa akili zao, taste zao zimeendelea zaidi kwa vile wana nchi za kuiga zilizoendelea kuliko wao.
Hii ni kwa sababu raia hao ni rahisi ku 'incoporate' fikra mpya kama zile zilizoko kwenye nchi hizo zilizoendelea. Katika nchi za Afrika zilizoendelea sana katika kukumbatia fikra mpya: Social media, capital ventures, masoko ya hisa, Bitcoin na innovations za aina mbali mbali ni zile zenye uelewa mkubwa wa lugha hizo.
Nimetazama katika nchi 15 za Afrika zinazotabiriwa kuona mapinduzi makubwa ya 'start up tech ventures' Tanzania haimo! Hakuna shaka ni kwa sababu ya lugha. Ukitazama matumizi ya Twitter, WhatsApp, na social platforms nyingine katika nchi za Kenya na Uganda utaona namna gani Tanzania iko nyuma. Lugha!
Hii haina maana tusijivunie Kiswahili na tusifundishe kwa Kiswahili. Tatizo ni kwamba bado hatujakifanyia kazi Kiswahili kiasi ambacho kinastahiki kuwa lugha ya kufundishia. Huwezi kupata hata vitabu 10 vya rejea kwa katika fani yeyote!
Hivyo hivyoUchumi wa wachuuzi, tutegemee nini??
Ukiwe mwekezaji TRA wanalala na kuamka na wewe. Kodi utitiri! Bora kulipa 20elfu ya kitambulisho cha ujasiliamali! Uishi kibishi
Sema tu siku tutakapo anza kikosowa sera mbovu za muasisi wa hi nchi hi na chama chake, ndo siku tukao anza tz mpya, yenye maono chanya, kusifi sifia ujinga wa viongozi wetu walio pita ndo kuna tuumiza na kutufanya masikini zaidiTatizo kubwa ni uvamizi uliopewa Jina la muungano. Bila hili jinamizi kuondoka hakuna maendeleo yoyote yatayokuja
hv kenya na ss nani wanashabikia sana siasa.mm nadhani issue kubwa hapa kwetu ni katiba ndo inayotuharibia.tukipata katiba nzuri ya kuwajibishana tutakuwa sawa lkn haya malugha si ya maana sana sababu hata ujerumani ambao wako vzr hawayataki haya mavingereza pia ufaransa hawana haja na hayo malugha kwa hiyo tukomae kunadai katiba mpya.Tanzania, kwa historia yake, rasilimali zake (watu na mali) na amani yake ingekuwa moja ya nchi tano Afrika zinazoongoza. Lakini kiuhalisia, inashindwa mbali na vinchi kama Senegal, Cote d'Ivoire, Botswana, Ghana. Ingawaje tuna GDP kubwa kuliko nchi hizo.
Hakuna mchawi, isipokuwa tumeanza vibaya baada ya kupata uhuru, na hadi sasa baadhi ya makosa yaleyale tunaendelea nayo. Makosa makubwa:
1 - Kushabikia mno siasa kuliko uchumi
2 - Kupuuza elimu na rasilimali watu
3 - Kupuuza kilimo ambacho ndiyo mategemeo ya wengi
4 - Kutokuwa na viongozi wengi wenye upeo wa fikra na exposure (matokeo yake kiongozi mmoja anadiriki kudai kujua kila kitu, mungu mtu)
5 - Kutokuwa na dira, stability ya sera za uongozi (kila kiongozi anaanza upya)
6 - Kupuuza Kiingereza (hii watu hawataifahamu, lakini ni kweli nchi za Afrika ambazo raia wake wengi wanafahamu Kiingereza,
Kifaransa, Kireno, Kijerumani, Kispaniola, Kiarabu, huwa akili zao, taste zao zimeendelea zaidi kwa vile wana nchi za kuiga zilizoendelea kuliko wao.
Hii ni kwa sababu raia hao ni rahisi ku 'incoporate' fikra mpya kama zile zilizoko kwenye nchi hizo zilizoendelea. Katika nchi za Afrika zilizoendelea sana katika kukumbatia fikra mpya: Social media, capital ventures, masoko ya hisa, Bitcoin na innovations za aina mbali mbali ni zile zenye uelewa mkubwa wa lugha hizo.
Nimetazama katika nchi 15 za Afrika zinazotabiriwa kuona mapinduzi makubwa ya 'start up tech ventures' Tanzania haimo! Hakuna shaka ni kwa sababu ya lugha. Ukitazama matumizi ya Twitter, WhatsApp, na social platforms nyingine katika nchi za Kenya na Uganda utaona namna gani Tanzania iko nyuma. Lugha!
Hii haina maana tusijivunie Kiswahili na tusifundishe kwa Kiswahili. Tatizo ni kwamba bado hatujakifanyia kazi Kiswahili kiasi ambacho kinastahiki kuwa lugha ya kufundishia. Huwezi kupata hata vitabu 10 vya rejea kwa katika fani yeyote!
Mada iko too general,ungespecify angle ambayo Tanzania inashindwa vibaya,kwa sababu kama ni GDP tz iko Top Ten Africa na ya 72 Dunia na katika nchi ulizotaja ni Ghana tu ndio ipo juu ya Tanzania in terms of GDP.Je unataka kulinganisha per capita income?GDP? au individual development? be specific please.Tanzania, kwa historia yake, rasilimali zake (watu na mali) na amani yake ingekuwa moja ya nchi tano Afrika zinazoongoza. Lakini kiuhalisia, inashindwa mbali na vinchi kama Senegal, Cote d'Ivoire, Botswana, Ghana. Ingawaje tuna GDP kubwa kuliko nchi hizo.
Hakuna mchawi, isipokuwa tumeanza vibaya baada ya kupata uhuru, na hadi sasa baadhi ya makosa yaleyale tunaendelea nayo. Makosa makubwa:
1 - Kushabikia mno siasa kuliko uchumi
2 - Kupuuza elimu na rasilimali watu
3 - Kupuuza kilimo ambacho ndiyo mategemeo ya wengi
4 - Kutokuwa na viongozi wengi wenye upeo wa fikra na exposure (matokeo yake kiongozi mmoja anadiriki kudai kujua kila kitu, mungu mtu)
5 - Kutokuwa na dira, stability ya sera za uongozi (kila kiongozi anaanza upya)
6 - Kupuuza Kiingereza (hii watu hawataifahamu, lakini ni kweli nchi za Afrika ambazo raia wake wengi wanafahamu Kiingereza,
Kifaransa, Kireno, Kijerumani, Kispaniola, Kiarabu, huwa akili zao, taste zao zimeendelea zaidi kwa vile wana nchi za kuiga zilizoendelea kuliko wao.
Hii ni kwa sababu raia hao ni rahisi ku 'incoporate' fikra mpya kama zile zilizoko kwenye nchi hizo zilizoendelea. Katika nchi za Afrika zilizoendelea sana katika kukumbatia fikra mpya: Social media, capital ventures, masoko ya hisa, Bitcoin na innovations za aina mbali mbali ni zile zenye uelewa mkubwa wa lugha hizo.
Nimetazama katika nchi 15 za Afrika zinazotabiriwa kuona mapinduzi makubwa ya 'start up tech ventures' Tanzania haimo! Hakuna shaka ni kwa sababu ya lugha. Ukitazama matumizi ya Twitter, WhatsApp, na social platforms nyingine katika nchi za Kenya na Uganda utaona namna gani Tanzania iko nyuma. Lugha!
Hii haina maana tusijivunie Kiswahili na tusifundishe kwa Kiswahili. Tatizo ni kwamba bado hatujakifanyia kazi Kiswahili kiasi ambacho kinastahiki kuwa lugha ya kufundishia. Huwezi kupata hata vitabu 10 vya rejea kwa katika fani yeyote!
Swali la lugha sio kwamba tujue Kiswahili au Kingereza. It is not EITHER OR, but it is rather BOTH AND.hv kenya na ss nani wanashabikia sana siasa.mm nadhani issue kubwa hapa kwetu ni katiba ndo inayotuharibia.tukipata katiba nzuri ya kuwajibishana tutakuwa sawa lkn haya malugha si ya maana sana sababu hata ujerumani ambao wako vzr hawayataki haya mavingereza pia ufaransa hawana haja na hayo malugha kwa hiyo tukomae kunadai katiba mpya.
Nyerere alisema ili tuendelee twahitajiMfano wa Rwanda unatuambia “ili tuendelee tunahitaji uongozi bora”. Vita vya kimbari vilileta mauaji ya kutisha Rwanda 1994. Walichinjana watu laki nane.
Baada ya vita, Rais Kagame akachukua nchi. Ilikuwa kama failed state, lakini sasa ona waliko. UONGOZI BORA is the conditio sine qua non for development.
Rwanda haina ardhi kubwa. Wamebanana sana. Watu, ardhi na siasa safi siyo vitu vilivyoleta maendeleo Rwanada. Ni uongozi bora, full stop.