future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 419 Reaction score 423 Nov 11, 2023 #41 Zuga said: Sio zote! Ila Iko stori moja ya msemaji wa Yanga Ali alimponda sana huku watu hatujui kitu chochote baadae heee tukashangaa dogo ndo huyo huyo amekuwa semaji lenye barka Yanga! Sijui alizipataje kuwa Ali yumo anagombea! Click to expand... jamaa ana info za uhakika ila mnamchukulia poa tumpe credit zake genta
Zuga said: Sio zote! Ila Iko stori moja ya msemaji wa Yanga Ali alimponda sana huku watu hatujui kitu chochote baadae heee tukashangaa dogo ndo huyo huyo amekuwa semaji lenye barka Yanga! Sijui alizipataje kuwa Ali yumo anagombea! Click to expand... jamaa ana info za uhakika ila mnamchukulia poa tumpe credit zake genta
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Nov 11, 2023 #42 denoo JG said: Wewe ulitaka itolewe November ipelekwe wapi? March! Timu ya taifa sasa hivi iko kambini, watoke huko wajikusanye waanze game za CAF, ni ujinga kuamini Simba Sc inawaogopa Azam zaidi ya wapinzani wa CAF. Click to expand... Ikiwezekana ifutwe
denoo JG said: Wewe ulitaka itolewe November ipelekwe wapi? March! Timu ya taifa sasa hivi iko kambini, watoke huko wajikusanye waanze game za CAF, ni ujinga kuamini Simba Sc inawaogopa Azam zaidi ya wapinzani wa CAF. Click to expand... Ikiwezekana ifutwe