Sababu za TPLB kusogeza mbele Mechi ya Simba na Azam kutoka Novemba 28, 2023 hadi Jan 1, 2024 hazijaniingia akilini

Sababu za TPLB kusogeza mbele Mechi ya Simba na Azam kutoka Novemba 28, 2023 hadi Jan 1, 2024 hazijaniingia akilini

Sio zote!

Ila Iko stori moja ya msemaji wa Yanga Ali alimponda sana huku watu hatujui kitu chochote baadae heee tukashangaa dogo ndo huyo huyo amekuwa semaji lenye barka Yanga! Sijui alizipataje kuwa Ali yumo anagombea!

jamaa ana info za uhakika ila mnamchukulia poa tumpe credit zake genta
 
Wewe ulitaka itolewe November ipelekwe wapi? March!

Timu ya taifa sasa hivi iko kambini, watoke huko wajikusanye waanze game za CAF, ni ujinga kuamini Simba Sc inawaogopa Azam zaidi ya wapinzani wa CAF.
Ikiwezekana ifutwe
 
Back
Top Bottom