Sababu za Ubora katika Makundi ya Brands za TVs hizi

Sababu za Ubora katika Makundi ya Brands za TVs hizi

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Nimegawa Brands katika makundi mawili. Kundi A na kundi B. Nimezingatia ukongwe au Umaarufu duniani katika makundi haya na Bei zake.

A.
Samsung
Panasonic
Sony
Hitachi
JVC
LG
SANYO
( TCL na HISENSE ? )

B.
TCL
HISENSE
BOSS
STAR X
Mr. UK
HOMETECH
ABORDER
SINGSUNG
ITEL
ZUHNE

Jambo jingine. Je ni kwanini katika yale mabox kuna mabox ambayo ni ya kaki na mengine ni yenye urembo ,rangi au colored pictures? Na wakati flani unakuta brand hiyo hiyo ina TVs Boxes zenye sifa hizo mbili tofauti.
 
Hapana, hitachi(japani) ni kampuni ambayo haina uhusiano wowote na TCL inayomilikiwa na serikali ya china.
Sijawahi sikia TCL kuwa wamenunua idara inayozarisha tv za hitachi.

Sijui nani alieneza huu upuuzi
 
Hapana, hitachi(japani) ni kampuni ambayo haina uhusiano wowote na TCL inayomilikiwa na serikali ya china.
Sijawahi sikia TCL kuwa wamenunua idara inayozarisha tv za hitachi.

Pili, Hitachi haizarishi tena tv na consumer product kwa ujumla tangu 2012

Hitachi ni likampuni likubwa mno.
Angalia kwenye box la tcl hapo
Screenshot_20210228-132831_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom