thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Mzee Baba hiyo karatasi iliyopo kwenye box ni warrant iliyobandikwa na Eros Group ya Dubai na sio TCL wenyewe.Angalia kwenye box la tcl hapo View attachment 1713849
Eros Group ni kampuni ya usambaji WA vifaa vya electronic ambayo husambaza bidhaa afrika na mashariki ya Kati.
Ina ushirikiano na makampuni makubwa 13 duniani ikiwemo Hitachi, TCL, Samsung,Huawei Idea Hub. Nk
Kwa hiyo masharti ya warrant yanayotumika kwenye bidhaa za Hitachi pia yanatumika kwenye TCL kwenye hiyo kampuni ya Eros Group. Ndio maana wakaweka label za kampuni kwenye warrant moja.
Hiki ndicho kitu kinacho-mislead watu kudhani kuwa Hitachi ni tcl
Hitachi Hana mahusiano yoyoye na TCL kabisa.