Sababu za Ubora katika Makundi ya Brands za TVs hizi

Sababu za Ubora katika Makundi ya Brands za TVs hizi

Blackstone Nayo
Blackstone si ndio wachina wanaunganisha majumbani kwao huko. Ukweli ni kwamba karibia TV zote unazoona za brand zisizo kubwa huwa wanaunganisha components kutoka kwa wholesale vendors.

Wanachukua generic Display controller, display na power supply na housing wana agiza kisha wanaunganisha wenyewe. Wao sio ODM (Original Device Manufacturer) or OEM (Original Equipment Manufacturer). Sshv hvi hapa unaweza fungua TV yako ya akina Boss au Abroder ukaangalia serial number ya board yake ukasearch Alibaba utakuta original manufacturer ambaye sio hao akina Abroder. Ila sio mbaya kwasababu bado hvi vitu vinasaidia watu sana kupata bidhaa kwa bei rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom