Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
[emoji28][emoji28][emoji28] SIDO wa Asianadhani B class ni za SIDO za Asia..... nisamehe
Nadhani hawa ni Kundi BHome tech inakaa kundi gani ... Zipo nzuri zina bluetooth na wifi na screen yake ngumu saanaa
Fafanua kidogonadhani B class ni za SIDO za Asia..... nisamehe
Home tech inakaa kundi gani ... Zipo nzuri zina bluetooth na wifi na screen yake ngumu saanaa
Nadhanb Boss na StarX zinatakiwa uziweke kwneye kundi C. TCL and Hisense wanawazidi sana akina StarX na Boss.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafahamu hivyo pia....Hitachi sindo tcl au
Huyu ni mzanzibar anaenda kutoa oda tuu nizakawaida tuuBlackstone Nayo
Kuna Jamaa Yangu Kainunua Anasema Hii Kubwa Sana Kaifunika Nguo Kabisa IsiharibikeHuyu ni mzanzibar anaenda kutoa oda tuu nizakawaida tuu
Hapana, hitachi(japani) ni kampuni ambayo haina uhusiano wowote na TCL inayomilikiwa na serikali ya China.Hitachi sindo tcl au
Tcl zakwanza kabisa kwenye box waliandika tcl now ni HitachiHapana, hitachi(japani) ni kampuni ambayo haina uhusiano wowote na TCL inayomilikiwa na serikali ya china.
Sijawahi sikia TCL kuwa wamenunua idara inayozarisha tv za hitachi.
Hapana, hitachi(japani) ni kampuni ambayo haina uhusiano wowote na TCL inayomilikiwa na serikali ya china.
Sijawahi sikia TCL kuwa wamenunua idara inayozarisha tv za hitachi.
Angalia kwenye box la tcl hapoHapana, hitachi(japani) ni kampuni ambayo haina uhusiano wowote na TCL inayomilikiwa na serikali ya china.
Sijawahi sikia TCL kuwa wamenunua idara inayozarisha tv za hitachi.
Pili, Hitachi haizarishi tena tv na consumer product kwa ujumla tangu 2012
Hitachi to end TV manufacturing
Japanese electronics giant Hitachi is to stop making televisions from the end of September, but will continue to sell the Wooo brand.www.bbc.com
Hitachi ni likampuni likubwa mno.
Hizi ni swaga za kuvutia wateja, hitachi ilishaacha uzrishaji wa tv japokuwa wana brand zao kwa ajili ya nchi baadhiAngalia kwenye box la tcl hapo View attachment 1713849
Hata mie niliona hiliTcl zakwanza kabisa kwenye box waliandika tcl now ni Hitachi