Sababu za Ubora katika Makundi ya Brands za TVs hizi

Angalia kwenye box la tcl hapo View attachment 1713849
Mzee Baba hiyo karatasi iliyopo kwenye box ni warrant iliyobandikwa na Eros Group ya Dubai na sio TCL wenyewe.

Eros Group ni kampuni ya usambaji WA vifaa vya electronic ambayo husambaza bidhaa afrika na mashariki ya Kati.

Ina ushirikiano na makampuni makubwa 13 duniani ikiwemo Hitachi, TCL, Samsung,Huawei Idea Hub. Nk

Kwa hiyo masharti ya warrant yanayotumika kwenye bidhaa za Hitachi pia yanatumika kwenye TCL kwenye hiyo kampuni ya Eros Group. Ndio maana wakaweka label za kampuni kwenye warrant moja.

Hiki ndicho kitu kinacho-mislead watu kudhani kuwa Hitachi ni tcl

Hitachi Hana mahusiano yoyoye na TCL kabisa.
 

Kutokana na magumashi za wachina inabidi uongeze kundi la tatu kwa sababu wachina hawana baya na uchumi wa wateja wao
Kuna product wachina wanatengeneza za hali ya chini kwa bajeti ndogo na kuna products wanakaza

Product kama Boss na StarX ni za low quality
Na product kama TCL na Hisense wamekaza kidogo
 
Itoe tcl ilo kundi na kuwa na adabu soma reviewz ya vitu vingi kabla hujaandika ugolo mwingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…