Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tu mwache Konde Boy afanye yake....Hata mie nikipata mkwanja nitafanya zaidi ya Konde Boy #KONDE_GANG_UNO
kwa wasanii wa bongo sijaona mwenye mjengo wa maana wote wana mapagale tu.Majuz juz niliona baadhi ya mastaa kma shikole na lemutuz wakipost vimjengo vyao vya kawaida mpka nikawaza kwa umaarufu wote na show zote ndio kwanza kamjengo kamoja kama lemutuz ata kumalizia nyumba bado tena mtoto wa waasisi wa chama na taifa
Umeshaona mjengo wa Joti/Masanja?kwa wasanii wa bongo sijaona mwenye mjengo wa maana wote wana mapagale tu.