Sababu za waimbaji wengi kufilisika Duniani kulipa watu ovyo

Sababu za waimbaji wengi kufilisika Duniani kulipa watu ovyo

Kama hana hera kihivo kwann awe na msafara na mabodigadi kaama mvua kwann asiwe mwenyewe na watu wake wa mhimu au wa lazima kuwa nao eti unakuwa na watu kisa kwa kuwa mlikuwa mnasota wote geto au kitaani unadhani kila mtu akisema abebe watu alokuwa nao utotoni tutapiga hatua kweli!!? [emoji848] [emoji848]

Kama. Kweli anataka kupiga hatua aache hayo mazoea ya kifara na kujipa matumizi makubwa ambayo hana uwezo nayo bali kwa ss afanye vitu vya mhim na vya lazima tu ili kwa baadae akisha zikamata za kutosha ndo afanye hayo ma show off ila kwa ss hana uwezo huo zaid anachokitafuta ni kushuka kama sio kujichelewesha.. Fukuza wote kuanza upya sio ujinga.
Axa ujinga.rudi shule hera ndio nini mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu msanii ni mtu anafanya hustle kama wewe ,yeye kajiongeza kawa msanii,wewe pia unaweza kujiongeza ukabuni na kufanya vitu vingine kama biashara na mengineyo ili upate hela ujenge mansions na hekari nyingine unazozungumzia,unapomfananisha na 50 cent we pia jifananishe na waliokuzidi ambao wanafanya hustle kama zako na ujiulize unakwama wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kipato cha muuza nyanya na njugu ndio ufananishe na kipato cha msanii? Msanii kupiga show moja wengine wanaingiza hadi 10m per week,wasanii wengi wanalipwa kwa "CAMEO" tu,Wasanii wanakuwa mabalozi/brand ambassador wanalipwa mipunga ya kutosha,wanafanya matangazo ya biashara ,wanafanya matangazo kwenye pages zao halafu unataka kusema wawe wanaishi maisha kama ya digidigi?
 
Ni kitendo cha kupata thawabu huku ukiwa unajongea kwenye mlima wa moto ingawa muda huo Yuda anakua anakucheki maana usahili utaendelea mpk machweo ya siku muhimu kabisa, pia itategemea na maandalizi ya siku zinazofuata pamoja na warsha maalumu kwenye kila idara husika na usisahau bado Oxygen sensor,air cleaner,hoses zitahitajika kwa pamoja.
‘Kujionyesha’ ni nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Kwa hawa wabongo ,asilimia kubwa ni waigizaji.



Unajua Mara nyingi Mali ilochumwa kwa muda mfupi huwai pia kuyeyuka
 
Back
Top Bottom