Sababu za Wanaume kutonufaika na ndoa

Kumpiga mkeo, na kumpiga mbele ya watoto wenu, hii sio abuse?
Hii kitu haifanyiki na kila mwanaume ni kama kusema mwanamke kumtukana matusi ya nguoni mwanaume mbele ya watoto, si tukio ambalo utalikuta katika kila mahusiano.

Ni nadra kukutana na couple ambayo mwanaume anapiga mke mbele ya watoto wao na anafanya mara kwa mara ingawa hayo matukio yapo kwenye jamii yetu hata mimi nimeyaona. Ila sio ya kawaida sana au kutokea mfululizo.

So katika kutengeneza hoja, sio sawa kukuza kitu ambacho ni nadra na kukitumia kama main topic ya mjadala. Nikikuita uje kwenye mtaa wangu hapa unionyeshe wanawake wanaofanyiwa aina hii ya abuse ya kupigwa hautapata kitu maana mtaani kwetu hakuna tukio la namna hiyo muda mrefu sana. Labda kama wakilia wanamute sauti ila lazima majirani tungesikia.
 
Uko wapi.....
Me nakwambia ipo siku lazima Evelyn Salt tutajikuta kitandani tumeloa jasho hoi huku majirani wamepagawa nini kilikuwa kinaendelea kwa zile kelele na miguno na vitu kuanguka anguka as if kulikuwa na sterling na adui wanapigana huko ndani,kumbe ulikuwa ni mtanange. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtakula kwa jasho...
Kichwa cha familia...maana ya kichwa ni kama CPU...
Endeleeni kujikaza mmalize unabiii...
Mfano, kipato chetu tunatafuta kwa kubeti na tunafanyia kazi zetu chumba chenye A/C je, hapo si tutakuwa tunakinzana na maandiko?
 
Aiiiiiiiiii wewe, uko wapiiiiiii.....😹
 
Mfano, kipato chetu tunatafuta kwa kubeti na tunafanyia kazi zetu chumba chenye A/C je, hapo si tutakuwa tunakinzana na maandiko?
AhahaπŸ˜€πŸ˜€ bado akili inachemka bro..ubongo unachemka kwa ndani...
 

KUMBUKA WANAUME WENYE WAKE WENGI, HAWAKUMBWI NA SHIDA HIZI
WANAUME WENYE WAKE WENGI WANAISHI MAISHA MAREFU
 
Ndo maana Huwa nampa thamani sana babayngu sio rahisi kuwa mwanaume lakini ndio mliumbwa mteseke ndugu zangu mjikaze
 
Pole kwa kutelekezwa baada ya kustaafu
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…