Sababu za Yanga kumuajili Abdihamid Moalin kama meneja wa ufundi huenda zikawa hizi. Kuna vipaji vitaibuliwa msimu huu

Sababu za Yanga kumuajili Abdihamid Moalin kama meneja wa ufundi huenda zikawa hizi. Kuna vipaji vitaibuliwa msimu huu

mkuu
kuna muda unajiuliza kwanini gamondi hakupenda kumtumia kabisa kibwana hata katika zile mechi ndogo?
leo saed anamuamini tena katika mechi ngumu kama jana, na kijana hajatuangusha kabisa amefanya kabwiti akaomba maji

boka ana shida ya kupiga tackling sana kwenye boksi hilo tu ila uwezo wa kupanda anaoa mkubwa sana sana
Mkuu

Ganobd kumchukia kivwana ni masuala ya kiroho zaidi
 
Back
Top Bottom