Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio.

Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha Hamas kupiga risasi raia na kuwaua, na wengine kuteka nyara na mashambulizi mengine ya moja kwa moja kwa raia ni kosa la kigaidi, hivyo na kupelekea kundi hili kupewa jina la kigaidi.

Hotuba ya waziri mkuu wa uingereza amesema hawa jamaa sio freedom fighters au wapigania haki bali ni terrorists kutokana na matukio ya kushambulia raia. Nchi ya Marekani nayo imesema Hamas ni magaidi kutokana na namna wanavyoua raia.

Israel yeye katumia Akili sana hili asiitwe gaidi na maadui zake, badala yake wengi wanampongeza kwa kujitetea. Mfano, kabla hajafanya mashambulizi makubwa huko Gaza, aliwaonya na kutoa taarifa kwa raia yeyote aliyeko Gaza kuama eneo hilo, yani hakutaka kufanya mashambulizi ya moja kwa moja kwa Raia, jambo ambalo wengi wanaona ni la kiungwana kwa sababu vita ya Israel anapigana na Hamas na si raia wa palestina. Tofauti na kundi la Hamas ambalo lenyewe linalenga moja kwa moja raia.

Popote pale Duniani uwezi kupata support ya 100% kama unapiga raia moja kwa moja, ndio maana hata nchi za uarabuni zinashindwa kuingilia vita kwa sababu za Hamas kupiga moja kwa moja raia ambayo ni kinyume na sheria za Dunia.

USHAURI: Hamas kuishinda Israel mnapaswa kutumia Akili na si kupiga piga hovyo na kuwateka raia, mkifanya hivyo mtafanya mataifa mengine yazidi kuiunga mkono Israel na mwisho wa siku Israel itazidi kuwa na nguvu zaidi na ushawishi. Ikumbukwe nchi ya Israel inaruhusu uraia pacha, hivyo raia wa Israel wengi mnaowaua na kuwateka pia ni raia wa nchi nyingine, hivyo mtakuwa mnazipa morali nchi nyingine nazo kuiunga mkono Israel. Mfano raia wa Tanzania wawili hawajulikani walipo, hiyo ni go ahead moja kwa moja ya Tanzania kuiunga mkono Israel kwa sababu Hamas wameteka au kuua watanzania, japo Bongo nyoso haiwezi kutoa kauli. Hivyo hivyo nchi nyingine nazo mkiua raia wake. Israel hapa alijitoa kwenye kuua raia, yeye hasa hasa anatungua magorofa matupu yani safisha mji na kambi za Hamas tu, jambo linalompa mashiko.
Hawana pakufanyia hayo.

Ujuwe hata hii wamepewa upenyo makusudi ili Gaza yote ichukuliwe na wayahudi, asibaki mpalestina hapo.

Wayahudi hapa ni kama walimpa samaki chambo akakimeza.

Wapalestina walilijuwa hilo, wakasema watajitosa tu na wao wakajiwekea mikakati kwanza wawadake mateka ili wajihami nao.

Bila mateka wakiyahudi, leo gaza isingekuwepo.
 
Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha, Somalia
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)


Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Nyie wakenya mnafanya nini somaIia?

Ngoja warudi Westgate 2

Si unafahamu kisasi cha wajomba zako wakisomali?
.
 
Hawana pakufanyia hayo.

Ujuwe hata hii wamepewa upenyo makusudi ili Gaza yote ichukuliwe na wayahudi, asibaki mpalestina hapo.

Wayahudi hapa ni kama walimpa samaki chambo akakimeza.

Wapalestina walilijuwa hilo, wakasema watajitosa tu na wao wakajiwekea mikakati kwanza wawadake mateka ili wajihami nao.

Bila mateka wakiyahudi, leo gaza isingekuwepo.
Very True... Hapa ndio umeongea fact

Huo ulikuwa ni mtego, Hamas bila kufikiria wameingia kichwa kichwa. Lengo la Israel ni kukamata ardhi zaidi.

Lakini kitendo cha kuua na kuteka raia kitafanya mataifa mengine yaliyotaka kuisadia Palestina yashindwe, kwa sababu tayari umoja wa mataifa umeshatafsiri kitendo cha kuua raia kama ni Ugaidi, hivyo nchi yoyote itakayotetea Kundi la Hamas nayo itaonekana kama ina fadhili ugaidi... Hapo ingekuwa vyema Hamas wangeshambulia ngome za jeshi la Israel tu, ingekuwa rahisi hata Misri au Saudi Arabia kuwatetea
 
Amani itawale, Palestina na Israel wakae chini na kumaliza tofauti zao

Kihistoria ilo eneo hata miaka ya zamani Israel waliishi hapo hata ukiangalia kumbukumbu nyingi za wayahudi , waarabu walikuja baadae sana hivyo wakisema hilo ni eneo lao la asili ntashangaa sana kwani hata majina ya miji tu hayana asili ya kiarabu

Mwisho wa siku wote wawili mnawaponza watu wasio na hatia kisa tu masuala yenu ya kisiasa, Palestina acheni fujo na Israel acheni kulipiza visasi
 
Nyie wakenya mnafanya nini somaIia?

Ngoja warudi Westgate 2

Si unafahamu kisasi cha wajomba zako wakisomali?
.

Yaani dini moja iwe ndio inapigana na dini zote, halafu majitu huwa hamna uzalendo, hata hiyo Tanzania huko Kibiti mlikua mnaua tu ndugu zenu, mtu akijiunga hiyo dini ndio ashakua muuaji maana hata asipoua ila ameamrishwa na 'mungu' wenu muarabu aue wasiomuabudu.....


Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha, Somalia
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)


Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Me nawaombea tu waongezewe siraha wauwane vizuri, Maana ni Mungu mwenyewe aliutengeneza uadui sisi ni nani tuukokeshe?
 
Mapapai mnajulikana kwa kubadili maneno, siwashangai kwa kuwa hiyo ndiyo maana kamili ya usengenyaji.
Hao sio tu mapapai Bali matango pori wamejazana humu kubadilisha maneno na kuutukana uislamu.. Ni Kuni za Jahannam hizo usibishane nazo.
 
Yoshua 1:4
From the wilderness and this Lebanon as far as the great river, the River Euphrates, all the land of the Hittites, and to the Great Sea toward the going down of the sun, shall be your territory.
 
Uongo huo, sikubaliani na nyerere kwa mengi sana tena sana lakini sijawahi kumtukana hata siku moja. Huwa nawasilisha mawazo yangu kwanini sikubaliani nae, na leo nimewasilisha mawazo yangu kwa Nyerere kuiunga mkono Palestina nilikubaliana nae.

Nimtukane nyerere uongozi wa JF waniachie nidunde tu humu?

Mapapai mnajulikana kwa kubadili maneno, siwashangai kwa kuwa hiyo ndiyo maana kamili ya usengenyaji.
Nyerere hakuunga mkono Hamasi. Magaidi yanayoanzisha vita na ugomvi alafu wenzao wakijibu wanajificha misikitini, hospitalini, vituo vya kulea watoto na makazi ya watu. PLO siyo Hamas
 
Hao sio tu mapapai Bali matango pori wamejazana humu kubadilisha maneno na kuutukana uislamu.. Ni Kuni za Jahannam hizo usibishane nazo.
Nani kakupa haki ya kuhukumu nani wa kwenda Jehanamu, hicho kibali umepewa na nani?
 
Mengi na mada tofauti hizo.

Ntajichetuwa vipi? Hebu nipe mbinu, mie huwa nachetuliwa na gozi langu tu.

Wewe mama'ko huwa anajichetuwa mwenyewe?
Astaghafilulahi!!

wewe kweli ni mwanamke na kama ni mwanamke umefundwa kweli??

Mbona huna haiba ya mtoto wa kike!!??
 
Uongo huo, sikubaliani na Nyerere kwa mengi sana tena sana lakini sijawahi kumtukana hata siku moja. Huwa nawasilisha mawazo yangu kwanini sikubaliani nae, na leo nimewasilisha mawazo yangu kwa Nyerere kuiunga mkono Palestina nilikubaliana nae.

Nimtukane Nyerere uongozi wa JF waniachie nidunde tu humu?

Mapapai mnajulikana kwa kubadili maneno, siwashangai kwa kuwa hiyo ndiyo maana kamili ya usengenyaji.
Mnafiki sn ebu kaishi Iran kwanza
 
Astaghafilulahi!!

wewe kweli ni mwanamke na kama ni mwanamke umefundwa kweli??

Mbona huna haiba ya mtoto wa kike!!??
Mama'ko angekuwa kafundwa angekufunda aibu ya kumwambia mama wa wengine anajichetua.
 

Palestina, Julius Nyerere na mshikamano wa kimataifa​


Rosalynn Carter, Rais Julius Nyerere wa Tanzania na Jimmy Carter, tarehe 4 Agosti 1977 [Wikipedia]
Rosalynn Carter, Rais Julius Nyerere wa Tanzania na Jimmy Carter, tarehe 4 Agosti 1977 [Wikipedia]


Binafsi huwa sikubaliani na Nyerere katika mambo mengi, lakini hili la palestina na la ukombozi wa Afrika nililiunga mkono 100%.

"Ninaamini kwa dhati kabisa katika umoja," alisema mwanzilishi wa Tanzania Julius Nyerere. "Wakati mwingine, ninashutumiwa kwa kuunga mkono umoja kwa ajili yake mwenyewe lakini naamini umoja ni chombo cha ukombozi."

Akijulikana kama "Mwalimu", Nyerere alitoa maoni yake katika mahojiano na Nawal El Sadawy huko El Mussawar nchini Misri mwaka 1984. Katika kipindi chote cha uhai wake, Nyerere alijulikana kama kiongozi mwenye huruma na mjamaa wa Kiafrika mwenye shauku ya haki za binadamu, utu na ukombozi nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika.

Nchi yake ya Afrika Mashariki inajulikana sana kwa mapambano yake tukufu ya uhuru kutoka kwa utawala wa kikoloni wa Uingereza. Nyerere na wenzake waliandika historia kwa kuipindua serikali ya kikoloni na kuigeuza nchi Tanzania kuwa maficho ya harakati za ukombozi katika bara zima. Msimamo wao mpya uliwawezesha kuanzisha kambi za mafunzo, kutoa msaada wa vifaa kwa hali na mali, na kuonyesha mshikamano wa kidiplomasia na harakati za ukombozi wa kimataifa katika vikao vya kimataifa.

Tanzania pia ilikuwa nyumbani kwa harakati kadhaa za ukombozi kutoka nje ya bara la Afrika, kama vile Tupamaros ya Uruguay na wapiganaji wa ukombozi kutoka Palestina. Mwalimu Julius Nyerere alikuwa miongoni mwa viongozi wa kwanza wa Afrika kutambua chama cha ukombozi wa Palestina PLO chini ya Yasser Arafat.

Katika mahojiano hayo hayo kwa El Massawar, alisema: "Kizazi chetu kilikuwa kizazi cha mapambano ya kizalendo kwa ajili ya uhuru wa nchi zetu, lakini shida ya Wapalestina ni tofauti sana na mbaya zaidi.

Wamenyimwa nchi yao wenyewe; Ni taifa lisilo na nchi yao wenyewe. Kwa hiyo, wanastahili kuungwa mkono na Tanzania na dunia nzima."

Maandamano ya kumaliza uvamizi wa Israel wa Palestina nchini Tanzania [Muhammad Mahdi Karim /Wikipedia]

Maandamano ya kumaliza uvamizi wa Israel wa Palestina nchini Tanzania [Muhammad Mahdi Karim /Wikipedia]

Mwaka 1973, Dar es Salaam ikawa nyumbani kwa ubalozi wa kwanza wa PLO barani Afrika baada ya kukata uhusiano wote wa kidiplomasia na Israel. Tanzania pia ilikuwa sehemu ya kundi la mataifa ya mstari wa mbele ambayo yaliunda uti wa mgongo wa upinzani dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.

Nyerere alikuwa miongoni mwa walioanzisha harakati za kupinga ubaguzi wa rangi duniani mwaka 1959 mjini London. Wakati huo, alitoa wito wa kususia uchumi: "Hatuombi [wewe] kitu chochote maalum. Tunakuomba tu uondoe msaada wako kutoka kwa Apartheid kwa kutonunua bidhaa za Afrika Kusini."

Tangu Tanzania ilipopigania uhuru hadi kifo chake Oktoba 14, 1999, Mwalimu Julius Nyerere aliendelea kuwa msaidizi wa umoja katika mapambano dhidi ya ukandamizaji na udhalimu duniani. Urithi wake wa mshikamano wa kimataifa na michango aliyoitoa kama kiongozi katika bara la Afrika imemthibitisha kama mfano wa thamani wa uadilifu kwa viongozi wa baadaye.

Ni juu ya mabega ya makubwa kama hayo ya ukombozi wa Afrika na mshikamano wa binadamu kwamba sisi kusimama wakati sisi kufanya wito wa mshikamano na watu wa Palestina na watu wengine wote waliokandamizwa duniani. Ni uwazi wa kimaadili, ujasiri wa imani na hasira ya haki ya Nyerere ambayo inahamasisha wanaharakati katika mashirika kama #Africa4Palestine kuendelea na harakati za ulimwengu wa amani na haki.

Sasa jiulize Mtanzania wewe wa leo hii upo na jadi ya wazee wako Wakitanzania au upo na upapai wako wa kimagharibi?
Huko shuleni mliendaga kusomea Ujinga.
 
Mama'ko angekuwa kafundwa angekufunda aibu ya kumwambia mama wa wengine anajichetua.
wewe unajichetua na wala huna haiba za kike...

Umejificha nyuma ya jina la mwana mama wa kimarekani tutajuaje kama wewe siyo tasa ingawa unajifanya ni mama wa mtu!!??

weka jina lako halisi ili tujue kama wewe ni mama wa nani.

Jifunde ili uheshimike acha kujichetua na kujifaragua.
 
Unajua ukichukulia maisha in its simplicity, ukiwa na misimamo ya Natural Justice wala mambo hayatakusumbua kabisa....

Hence awe Mpalestina, Muisrael, Ndugu yako, Adui yako, Jirani yako akifanyiwa Injustice ni Jukumu lako kama Binadamu kumuunga mkono na kukemea asifanyiwe hivyo, na anayefanya no matter hata kama ni mzazi wako haipaswi kumuunga mkono....

Ukifuata hii kanuni na ukawa consistent wala hakutakuwa na Kuunga mkono mtu / watu bali deeds.....
 
Je, hawa ni magaidi wawili walioungwa mkono na nyerere?

Yasser Arafat (R) rose to become the leader of the Palestinian movement in the late 1960s, leading an armed struggle against Israel.(REUTERS File Photo)
Yasser Arafat (R) rose to become the leader of the Palestinian movement in the late 1960s, leading an armed struggle against Israel.(REUTERS File Photo)
Muonyeshe na kiongoz wa polisario basi au abdalah ocalan wa wakurd alieko ndani huko Turkey
 
Back
Top Bottom