Sababu zenye kufanya mwenza wako anakutafuta akiwa na matatizo tu kisha anakuacha ghafla baada ya kumsaidia

Kuombaje mkuu.. wakati mimi sijawahi kumuomba mtu anipende… naishi nae namna alivyo akinitafuta na respond asiponitafuta simtafuti yaani ndivyo nilivyo mkuu au mimi sijaelewa maana ake
Fuata hiyo link. Kama shida ni hiyo anakutafuta anavyojisikia yeye basi huyo ana mahusiano mengine na mahusiano yake hayako sawa. Akiona kule amevurugika anakimbilia kwako maana inaonyesha wewe huwa unanyenyekea na kujitoa sana kwa huyo Mpenzi wako. Kwa kifupi huyo ana mahusiano mengine tena amependa Kupitiliza lakini yeye hapendwi na wewe inaonekana ûnampenda lakini yeye hakuoendi.

Kuna kitu kinaitwa LIMERENCE. Ngoja niku tag na usome kwa utulivu utapata Suluhu ya tatizo lako.

Kupendwa sio kitu cha kupigania bali HESHIMA ndiyo ya kupigania.
 
Inawezekana ikawa ni kweli kwasababu mara nyingi huwa ananiambia hili neno “I wish kama tungefahamiana mapema huenda nisingepitia yote” nikimuuliza shida nini hasemi.. ila najua kuna mwanamke yupo nae na huenda anamsumbua so anapata kwangu faraja tu 🤣
 
Hapo pagumu na wewe ndio ushapenda na huyo jamaa na yeye ashakuwa na tabia zenye kufanana na za kwako yaani tabia za kike. Kwa kifupi anapenda sana kutia huruma na wewe ndio mtoa faraja halafu mtoa faraja mwenyewe una hisia kali za upendo juu yake. Lakini wewe anakuona kama shosti wake. Sishauri chochote mapenzi ni yako na hisia ni zako
 
Sawa mkuu nimemuachaa
 
Back
Top Bottom