Sababu zifuatazo zinaweza kumfanya mteja avuliwe ufalme

Sababu zifuatazo zinaweza kumfanya mteja avuliwe ufalme

Kuna wateja ndio wanazingua kweli,, lakini pia kuna wafanyabiashara nao wanazingua pia, unaweza kuta mtu anakutajia bei kubwa kuliko uhalisia ili kama hujui ukijaa akupige cha juu hii mara nyingi ipo kwenye maduka ambayo mtu anaajiriwa ili apate vihela vya juu anajiingeza kwenye kila bidhaa mfano mahindi yanauzwa sado elfu4 yeye anasema elfu5 ukiwa hujui bas utapigwa.

Kiujumla mm ninapoenda dukani huwa napitia bei ya kitu nachoenda kununua kabla ya kufika kwaiy bei nakua naijua kabisa kabla ya kufika dukani kwahiyo ukizingua kutaja bei kubwa naaga nasepa
 
Back
Top Bottom