Sababu zilizoifanya Simba SC kutolewa CAF champion's league

Swaramosa

Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
22
Reaction score
19
i} Simba wali wadharau ud songo
ii}simba wameenda na matokeo uwanjani nakusahau kuwa mpira ni 90'
iii}Simba wamewaacha wachezaji wenye uzoefu na mechi za kimataifa 1] E.okwi
2] H.niyonzima
3] J.kotei
hakika mapengo yao yameonekana
iv}Maneno mengi na sio vitendo uwanjani
hatima yake simba imepoteza CV iliyo jiwekea msimu uliopita na kuondolewa mapema sana ktk Caf champion's league★★★
 
Hakuna lolote, aliyewatia gundu ni Ibrahim Ajib. Huyu jamaa kila anaenda na nuksi zake. Kipindi kile alivyoondoka msimbazi tu, Simba ikaanza kung'aa, imebeba vikombe misimu yote miwili.

Kaja Jangwani mambo ni ziiii hata kikombe cha kuku hawajabeba. Na sasa yupo simba wasubiri waone.
 
Kwa Ajib sina pingamizi ila msimu huu Simba wajiangalie sana maana huu ndo mwanzo wa mfarakano wa timu
 
tukiondoa mzaha lakini tangu mapema nilipinga sana usajili wa huyu jamaa.
 
Hiv Ibra Ajib nani anamloga? Jamaa ana gundu la Asili kabsa. Ana mkosi huyu jamaaa na mtafutano utaanza simba na kirusi kinapitia mlango wa Ajib..
 
tukiondoa mzaha lakini tangu mapema nilipinga sana usajili wa huyu jamaa.
Hayo ni mawazo ya wahenga, Ibra hajacheza mechi hata moja Simba wala hajafungisha goli Simba. Ameamua mwenyewe kuhama Yanga kwa maslahi yake binafsi na familia yake, na he is better off akiwa Simba hata pamoja na kutolewa kwenye mashindano.
 
Halafu Niyonzima akawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa akisema hakuna timu itaifunga Mikia uwanja wa taifa.
 
Gundu la Ajib mikiani FC.
 
Pengo La Msema ovyo wa Simba Haji Manara limechangia asilimia kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…