Sababu zilizoifanya Simba SC kutolewa CAF champion's league

Sababu zilizoifanya Simba SC kutolewa CAF champion's league

Acha kumpaka Ajib matope maana hata hakucheza hiyo mechi.
Nashangazwa sana jinsi huo ushirikina wa kunuhusisha Ajib na kushindwa kuifunga UD Songo. Kwa imani hizi mbovu, Yanga wakitolewa na Zesco, watamuangushia nani jumba bovu?

Vv
 
Hakuna lolote, aliyewatia gundu ni Ibrahim Ajib. Huyu jamaa kila anaenda na nuksi zake. Kipindi kile alivyoondoka msimbazi tu, Simba ikaanza kung'aa, imebeba vikombe misimu yote miwili.

Kaja Jangwani mambo ni ziiii hata kikombe cha kuku hawajabeba. Na sasa yupo simba wasubiri waone.
Naunga mkono joja
 
Back
Top Bottom