Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Simba wanampa lawama ajibu simba bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kumpaka Ajib matope maana hata hakucheza hiyo mechi.Hakuna lolote, aliyewatia gundu ni Ibrahim Ajib. Huyu jamaa kila anaenda na nuksi zake. Kipindi kile alivyoondoka msimbazi tu, Simba ikaanza kung'aa, imebeba vikombe misimu yote miwili.
Kaja Jangwani mambo ni ziiii hata kikombe cha kuku hawajabeba. Na sasa yupo simba wasubiri waone.
Hakuna timu ya mpira inapenda knockout stage; hii ni stage mbaya sana ambayo inahitaji a little bit lucky.i} Simba wali wadharau ud songo
ii}simba wameenda na matokeo uwanjani nakusahau kuwa mpira ni 90'
iii}Simba wamewaacha wachezaji wenye uzoefu na mechi za kimataifa 1] E.okwi
2] H.niyonzima
3] J.kotei
hakika mapengo yao yameonekana
iv}Maneno mengi na sio vitendo uwanjani
hatima yake simba imepoteza CV iliyo jiwekea msimu uliopita na kuondolewa mapema sana ktk Caf champion's league★★★
Ajib akubali tu kuokoka, Yesu awe bwana na mwokozi wake, mambo yatakuwa mema, otherwise aache kufuga yale madede yakeHiv Ibra Ajib nani anamloga? Jamaa ana gundu la Asili kabsa. Ana mkosi huyu jamaaa na mtafutano utaanza simba na kirusi kinapitia mlango wa Ajib..
Kwa hiyo mi sijui kama Ajib hakucheza? Yule bwana uwepo wake tu ni nuksi kubwa.Acha kumpaka Ajib matope maana hata hakucheza hiyo mechi.
Labda..Ajib akubali tu kuokoka, Yesu awe bwana na mwokozi wake, mambo yatakuwa mema, otherwise aache kufuga yale madede yake
Yule jamaa ana shida serius..sasa sijui hajui kama anayo au vpKwa
Kwa hiyo mi sijui kama Ajib hakucheza? Yule bwana uwepo wake tu ni nuksi kubwa.
Iyo kwel kabixHalafu Niyonzima akawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa akisema hakuna timu itaifunga Mikia uwanja wa taifa.
WatakubalGundu la Ajib mikiani FC.
AnaloooYule jamaa ana shida serius..sasa sijui hajui kama anayo au vp
WAAMBIE WAKWAMBIE UKWELI NA WALIPOOENDA WAMEAMBIWAJE LABLA YA MECHIIi} Simba wali wadharau ud songo
ii}simba wameenda na matokeo uwanjani nakusahau kuwa mpira ni 90'
iii}Simba wamewaacha wachezaji wenye uzoefu na mechi za kimataifa 1] E.okwi
2] H.niyonzima
3] J.kotei
hakika mapengo yao yameonekana
iv}Maneno mengi na sio vitendo uwanjani
hatima yake simba imepoteza CV iliyo jiwekea msimu uliopita na kuondolewa mapema sana ktk Caf champion's league★★★
Kama umeliona Hilo... Fanya mkutano klabuni kwenu uwaeleze wenzako na ManaraNawasikiliza wajinga wakijibizana ujinga>> kwan simba ina hati miliki ya kushinda kila timu hapa Tanzania? kuna kushinda na kushindwa.... tukutane ligi kuu.....
Hivi hata ngao ya hisani simba wameichukua Ajibu akiwa Yanga sio?Hakuna lolote, aliyewatia gundu ni Ibrahim Ajib. Huyu jamaa kila anaenda na nuksi zake. Kipindi kile alivyoondoka msimbazi tu, Simba ikaanza kung'aa, imebeba vikombe misimu yote miwili.
Kaja Jangwani mambo ni ziiii hata kikombe cha kuku hawajabeba. Na sasa yupo simba wasubiri waone.
Kwani Simba ilifungwa uwanja wa taifa?Halafu Niyonzima akawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa akisema hakuna timu itaifunga Mikia uwanja wa taifa.
Hilo goli la ugenini ndio kufungwa kwenyewe Mkuu! Mengine ni kujiliwaza tu.Kwani Simba ilifungwa uwanja wa taifa?
Ni mfariji (comforter) mzuri, lakini kwa wafarijiwa wenye uoni sidhani kama watafarijika. Kwanza ni kwa sababu mpira wa mashindano, hasa ya mtoano kwa jumla ya mabao ya nyumbani na ugenini, unahitaji mbinu zaidi kuliko burudani. Ndio maana Mourinho alitwaa Kombe la Mabingwa wa Ulaya akiwa na timu iliyoifunga nyumbani kwa mtindo wa kuvizia na waliporudiana akaegesha basi kwenye eneo la kumi na nane. Hakuna aliyeisifu Barcelona na Tiki Taka yake kwamba iliche za mchezo mzuri. Badala yake akasifika Mourinho kwamba alitumia mbinu nzuri.Hakuna timu ya mpira inapenda knockout stage; hii ni stage mbaya sana ambayo inahitaji a little bit lucky.
Simba wakicheza vizuri, walimiliki mpira lakini hawakupata bahati ya kufumania nyavu.
Bado Simba ni timu mzuri hapa nchini..kwa Africa safari hii mambo hayakuwa upande wao.
Pia wachezaji bado hawajawa na chemistry...wanahitaji game walau 10 hivi za kiushindani ili mwalimu apate nafasi ya ku install mfumo thabiti.
Wana Simba teembeeni kifua mbele timu lenu si la kawaida...kwa hapa bongo watakaa saana mmoko mmoko.