Sababu zilizoifanya Simba SC kutolewa CAF champion's league

Acha kumpaka Ajib matope maana hata hakucheza hiyo mechi.
 
Hakuna timu ya mpira inapenda knockout stage; hii ni stage mbaya sana ambayo inahitaji a little bit lucky.

Simba wakicheza vizuri, walimiliki mpira lakini hawakupata bahati ya kufumania nyavu.

Bado Simba ni timu mzuri hapa nchini..kwa Africa safari hii mambo hayakuwa upande wao.

Pia wachezaji bado hawajawa na chemistry...wanahitaji game walau 10 hivi za kiushindani ili mwalimu apate nafasi ya ku install mfumo thabiti.

Wana Simba teembeeni kifua mbele timu lenu si la kawaida...kwa hapa bongo watakaa saana mmoko mmoko.
 
Mpira siyo maneno !! Mpira siyo majina ya wachezaji !! Tunahitaji kubadilika hata kwa ushabiki... !!
 
kocha wa ile timu kasema walitumia udhaifu wa wawa na nyoni,kwmba ni wazito hawana kasi
 
Hiv Ibra Ajib nani anamloga? Jamaa ana gundu la Asili kabsa. Ana mkosi huyu jamaaa na mtafutano utaanza simba na kirusi kinapitia mlango wa Ajib..
Ajib akubali tu kuokoka, Yesu awe bwana na mwokozi wake, mambo yatakuwa mema, otherwise aache kufuga yale madede yake
 
WAAMBIE WAKWAMBIE UKWELI NA WALIPOOENDA WAMEAMBIWAJE LABLA YA MECHII

HUKO NJE MMOJA ALIWAPA.INFO ANAESHIKA.MIKOBA YA KAMATI YA UFINDI N NANIII WAKAANZA KUMTENGENEZA YEYE MAPEMA KABISA HOPE AMKUMWONA MLIOMZOEA...NA MOJAYA SALAM WANGEINGIZA HUYO MCHEZAJI WALIKUWA WANALAMBWA SITA...
 
Kitu ambacho mbumbumbu imefanikiwa kusonga.

Ni ugali tuu
 
Nawasikiliza wajinga wakijibizana ujinga>> kwan simba ina hati miliki ya kushinda kila timu hapa Tanzania? kuna kushinda na kushindwa.... tukutane ligi kuu.....
Kama umeliona Hilo... Fanya mkutano klabuni kwenu uwaeleze wenzako na Manara
 
Hivi hata ngao ya hisani simba wameichukua Ajibu akiwa Yanga sio?
 
Ni mfariji (comforter) mzuri, lakini kwa wafarijiwa wenye uoni sidhani kama watafarijika. Kwanza ni kwa sababu mpira wa mashindano, hasa ya mtoano kwa jumla ya mabao ya nyumbani na ugenini, unahitaji mbinu zaidi kuliko burudani. Ndio maana Mourinho alitwaa Kombe la Mabingwa wa Ulaya akiwa na timu iliyoifunga nyumbani kwa mtindo wa kuvizia na waliporudiana akaegesha basi kwenye eneo la kumi na nane. Hakuna aliyeisifu Barcelona na Tiki Taka yake kwamba iliche za mchezo mzuri. Badala yake akasifika Mourinho kwamba alitumia mbinu nzuri.
Pili ni kwa sababu ni kioja kuiambia timu iliyofikia robofainali kwenye mashindano hayo hayo kwamba haijaiva msimu mmoja baadaye na kwamba iko siku itakuwa timu nzuri. Kwa sababu, tatu, swala la ‘chemistry’ unalolisema lilikwishakaa sawa tangu msimu uliopita, na kwa hivyo kusema ‘chemistry’ haijakaa sawa ni kukubali udhaifu wa timu ya mwaka huu ambao haukuwa na sababu ya kuwapo. Kwa sababu kilichoondoa ‘chemistry’ ya timu iliyopita ni uamuzi wa kukubali kuwaachia wachezaji 5 muhimu wa kikosi hicho kwa kusajili mbadala wao. Huko ni kuacha kunasua kwa kutega. Linazungumzwa sana swala la fedha kwenye hili. Lakini nini kilichomleta Mo Simba kama si uwezo wake wa fedha? Uwezo huo umpungukie ghafla pale matumizi ya kubakisha wachezaji muhimu kwenye timu yanapojitokeza? Baina ya kuwabakisha watano hao na kuwasaini akina Gadiel, Kakolanya na Ajibu ambao hawakuwamo kwenye kikosi kilichofika Robo fainali na nafasi zao kwenye Simba tayari zilikuwa na watu wenye uwezo, lipi lilipaswa kuwa ni kipaumbele zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…