Hakuna lolote, aliyewatia gundu ni Ibrahim Ajib. Huyu jamaa kila anaenda na nuksi zake. Kipindi kile alivyoondoka msimbazi tu, Simba ikaanza kung'aa, imebeba vikombe misimu yote miwili.
Kaja Jangwani mambo ni ziiii hata kikombe cha kuku hawajabeba. Na sasa yupo simba wasubiri waone.