Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Crack ni madawa ya kulevya yanayotengenezwa kwa kiwango kidogo sana cha Cocaine na kuchanganywa na Baking powder au amatriptayne (ATM).
Amatriptayne (ATM) ni dawa ambazo ukimeza lazima ulale.
Hizi hapa sababu chache zilizopelekea niache.
Tatizo la kusahau.
Hili tatizo lilikuwa likinipata sana wakati wa asubuhi napoenda kazini na ninapotoka kazini. Naweza kuamka nikaandaa vitu vya kubeba na nisibebe hata kimoja na nikifika njiani navikumbuka nikirudi ile kufika tu nasahau nimerudia nini na hii hali ilikuwa ni ya karibu kila siku.
Nilipungikiwa na hamasa ya kufanya chochote.
Naweza kukwambia kipindi zimenikolea, sikuwa na fikra ya kufanya chochote kipya niliridhika na hali niliyokuwa nayo, lakini baada ya kuacha nilipata motivations kibao za kufanya vitu vipya.
Tatizo jipya nililokuja kulipata baada ya kuacha cracks ni stress za future yangu kwanini sikuipanga yani mbele naona tabu na dhiki tu, sasa ili kuzizuia hizi stress nikarudia bange tena.
Bange ni drug moja soft sana ukiizoea unaweza kuiona kama sigara aina ya sport ukavuta mara nyingi zaidi kwa siku ila ni ngumu sana kuiacha.
Ukosefu wa hamu ya kula.
Nililigundua hili baada ya kuvuta kwa miezi sita tu, naweza kwenda kazini 6AM hadi 2PM bila kula chochote na nikaja kujihisi kula saa moja usiku muda wote huo navuta tu tena nakula kwa sababu watu wengine wanakula sio kwamba nina njaa!
Ukosefu wa usingizi.
Crack inatabia ya kunyima usingizi inaweza kukufanya usilale hata siku tatu na pindi utakapoikosa basi utalala sanaa hadi uipate.
Hii inasababisha sana maumivu ya makalio (matako) kwa sababu nilipokuwa naikosa nilikuwa nalala huku nimekaa kwenye tiles au kiti kwa masaa mengi.
Hasira.
Yani hapa ndio bado niko na-fight napo i get upset kwa vitu vidogo vidogo na kijinga sana.
Kuanza kuvuta crack au drug yoyote unaweza kuingia bila kushawishiwa ila kutoka ni lazima upate msaada.
Mara nyingi hii ndio inafanya waraibu watoke na kurudi au wasitoke kabisa, cause we try ourselves kutoka hatutaki kumwambia yeyote hapa ndipo linakuja suala la utegemezi wa kisaikolojia wachache sana tulioweza kumudu hili.
All in all bange ni moja ya drug moja salama sana besides the fact uvutaji wa chochote si salam kwa afya ya ini na ubongo.
Short tip ya njia niliyoitumia kwa kiwango kikubwa kuacha kabisa instead of using meds ni mazoezi, nimefanya jogging, pushups, swimming yani vyote mnavyovijua ambavyo vina balance breathing ni key.