Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Mkuu upo Tanzania au, maana sijawai kuona hivi vitu huku zaidi ya bange na heroine.
Sir crack ni kama gongo tu inatengenezwa majumbani, unafahamu upatikanaji wa cocaine ni mgumu na ghali kidogo.

Sasa hii ni njia nzuri na salama kwa kiasi chake sababu dealer akipata grams zake kadhaa anauwezo wa kuhudumia wateja wako kwa muda mrefu.😊
Tatizo la crack ukijua kuitengeneza kwa quality ileile unaanza kuwa supplier (BIG MISTAKE)
 
Tofauti ya meth na cocaine kwa Tanzania ni meth anaweza kutengeneza yeyote legally cause nobody can suspect you easily ila inaweza kukuharakisha milembe zaidi.

Ila cocaine inatengeneza mazombi naomba niishie hapa kiongozi.😊
cocaine, crack, meth na heroine zina tofauti gani kwenye bei hapa tz
 
Kuna wenzio bado wamekwama.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Yeah ni wengi sana, tatizo ni usimamizi wengi wanatamani kabisa kutoka mchezoni ila ndio nani atamshika mkono?

Haya katoka hana A wala B at least kina sie tumeenda shule akiangalia kushoto mtaa haumtaki kulia anasonywa nyuma anatukanwa mbele ananyoonyeshewa vidole huyu lazima arudie tu.
 
sijafahamu tu vijana wenzangu hua mnatafuta nini mpaka mnatumia hivo vitu, aisee kiukweli mimi napenda kua real, sidhani kama nitaweza kutumia kitu cha ziada ili niwe kwenye hali flani. Tujitahidi kua real us.
Kuna mengi yanachangia vijana kujiingiza kwenye mambo yasiyofaa, ila msingi huanzia chini kabisa.
Ni kama unavyomfunza mtoto tabia nzuri nyumbani lakini shuleni atakutana na tabia zinazokinzana na yale unayomfundisha nyumbani.
 
Yeah ni wengi sana, tatizo ni usimamizi wengi wanatamani kabisa kutoka mchezoni ila ndio nani atamshika mkono?

Haya katoka hana A wala B at least kina sie tumeenda shule akiangalia kushoto mtaa haumtaki kulia anasonywa nyuma anatukanwa mbele ananyoonyeshewa vidole huyu lazima arudie tu.
Ni kweli kabisa
Social Stigma ni sumu.
 
cocaine, crack, meth na heroine zina tofauti gani kwenye bei hapa tz
Meth huipati kokote na hata anayejua kuitengeneza huwezi mjua cause hii ni vidonge tupu.

Cocaine ni ghali na si rahisi kuipata ukishaipata hii crack umeipata pia.
Heroin (kwa sasa siwezi kujua) ila kwa kipindi changu hii ndio ilikuwa jamvi la wageni.
 
kwa hio bei zao zipoje mkuu, nataka niome utofauti qa bei maana huko marekani naskia gram moja tu ya cocaine hadi laki na nusu.

Na je cocaine za huku tz zina purity (ubora)?, maana kitu kinaweza kikaingia nchini kina purity 90% ila mapusha wanaongezea unga mwengine ili iwe nyingi hivyo ubora unapungua hadi 50% huko
 
Tofauti ya meth na cocaine kwa Tanzania ni meth anaweza kutengeneza yeyote legally cause nobody can suspect you easily ila inaweza kukuharakisha milembe zaidi.

Ila cocaine inatengeneza mazombi naomba niishie hapa kiongozi.😊
Hivi crak ndio methamphetamine au. Na je, hii crak ndio inatengenezwa mitaani kwa kuchanganya lithium na ammonium fertilizer?
 
sijafahamu tu vijana wenzangu hua mnatafuta nini mpaka mnatumia hivo vitu, aisee kiukweli mimi napenda kua real, sidhani kama nitaweza kutumia kitu cha ziada ili niwe kwenye hali flani. Tujitahidi kua real us.
Kiongozi ninyi ndio mnafanya wale wa mitaani waendelee kuwa huko maana huwezi kumsaidia hata kidogo.

Binafsi sijawahi kuwa teja nilikuwa navuta huku natumia kama kitega uchumi kidogo maana nina ajira rasmi, hivyo sijawahi kuwa kiokote wala kumuomba pesa yeyote.

Ugumu unakuja pale utajificha hadi lini? Utakuwa na watu walewale miaka nenda rudi hadi lini? utafanya kitu cha maana lini?
Tukifikaga hapa sasa ndio tunaamua kwa dhati kujitoa but without support huwezi toka kabisa.
 
kwa hio bei zao zipoje mkuu, nataka niome utofauti qa bei maana huko marekani naskia gram moja tu ya cocaine hadi laki na nusu.

Na je cocaine za huku tz zina purity (ubora)?, maana kitu kinaweza kikaingia nchini kina purity 90% ila mapusha wanaongezea unga mwengine ili iwe nyingi hivyo ubora unapungua hadi 50% huko
Kiongozi siwezi kukutajia bei kwa sababu kila supplier ana bei yake kulingana na aliko itoa.

Nitakupa mfano dealer mwingine anatoa Kagadi, Uganda mwingine Goma,DRC hawa hawawezi kuuza bei sawa lazima utofauti uwepo na quality ya UG na DRC ni the same.

Kingine kinachokuja kuleta ongezeko la gharama ni packaging mwingine anatia kidogo mwingine anajaza kiaina pia kuna dealers wanaongeza stimulants hizi nazo lazima zipandishe bei.
 
Hivi crak ndio methamphetamine au. Na je, hii crak ndio inatengenezwa mitaani kwa kuchanganya lithium na ammonium fertilizer?
Crack na Meth ni drugs sawa in terms of namna zinavyotumiwa na nguvu zilizonazo.
Ila crack inatengenezwa kwa kutumia cocaine na baking soda na baadhi ya vidonge kama ATM ila Meth ni vidonge tu mtu anaenda pharmacy anavinunua na vyote vinavyotumika kutengeneza meth hupewi bila kadi ya daktari.

Lakini unajua pharmacy zetu unapewa chochote eee😂
 
Kiongozi ninyi ndio mnafanya wale wa mitaani waendelee kuwa huko maana huwezi kumsaidia hata kidogo.

Binafsi sijawahi kuwa teja nilikuwa navuta huku natumia kama kitega uchumi kidogo maana nina ajira rasmi, hivyo sijawahi kuwa kiokote wala kumuomba pesa yeyote.

Ugumu unakuja pale utajificha hadi lini? Utakuwa na watu walewale miaka nenda rudi hadi lini? utafanya kitu cha maana lini?
Tukifikaga hapa sasa ndio tunaamua kwa dhati kujitoa but without support huwezi toka kabisa.
Brother sijui kama umenielewa, ninachomaanisha vijana tujitahidi kua furaha, amani, nguvu and et cetera, ile ya kwako mwenyewe na wala sio kutumia vitu kama hivyo,sasa unachomaanisha siwezi kumsaidia mtu kabisa ni kipi?
pole sana man, natumai kwasasa sio muhanga kabisa, ilikuchukua mda gani kuacha kabisa?
 
Hongera Sana kwa kuacha hayo madawa. Kaa mbali na mazingira yaliyokufanya uvute hayo makitu. Tafuta Cha kufanya akili yako iwe busy nacho. Piga mazoezi ya mwili kuuweka sawa.
Congratulations.
 
Mirembe pia wamejaa vijana kibao kwasababu ya hiyo dawa yako ya bangi.
Bangi siamini moja kwa moja kama inaleta ukichaa ila ni laana inayotokana na kuvuta bangi. kuna ukoo ukivuta tu bangi lazima uwe kichaa wa milembe na huponi, wengine ni wazazi kuwapa laana ya moja kwa moja watoto wao kwa kauli kama usivute bangi na wakavuta lazima wapate shida. ni mtazamo wangu tu. Nimeona watu wazima kiumri wakivuta, manjagu,watu na nyadhifa zao n.k wakivuta na wako poa tu.
 
Back
Top Bottom