knysna
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 351
- 109
TikNyaope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TikNyaope
Gigy anakula bange mpk puli zima na whisky pembeniPole Sana ulikuwa unakula cocaine chafu low grades mpaka urudi inachukua mda Bora hata bsnge kuliko cocaine,I think gigy money naye anatumia hyo
Aiseee! 🤔 Nilimuangalia sana juzi wakati akipigana na yule jamaa ake nikajisemea, something isn't right in her head. Poor Giggy!Atakuwa anakula hizi crack maana vyote alivoandika mleta mada gigy ndio ana vifanys
Huyo mnaija ndo kamharibu gigy money vibaya sikuhizi hayuko sawa ana hitaji tibaAiseee! [emoji848] Nilimuangalia sana juzi wakati akipigana na yule jamaa ake nikajisemea, something isn't right in her head. Poor Giggy!
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Kakongoroka afya mgogoro Sasa hviGigy anakula bange mpk puli zima na whisky pembeni
Hahahaa anajitia anaishi masaki kumbe anakaa kawe Feza skul kwa nyumba bondeni kuleKakongoroka afya mgogoro Sasa hvi
Sikuhizi ana matatizo Sana tangu awe na huyu mnaija full kujiropokea arudiane na baby daddy wake tuHahahaa anajitia anaishi masaki kumbe anakaa kawe Feza skul kwa nyumba bondeni kule
Nimeanza kuconnect dot sasa, 🤔Huyo mnaija ndo kamharibu gigy money vibaya sikuhizi hayuko sawa ana hitaji tiba
Siwezi kumsemea mtu, ila i may be the master of some few drugs.Pole Sana ulikuwa unakula cocaine chafu low grades mpaka urudi inachukua mda Bora hata bsnge kuliko cocaine,I think gigy money naye anatumia hyo
Mtu anayetumia Cocaine hawezi kuropoka kama Gigy na inakuwa si rahisi kumgundua as long as ana pesa.Sikuhizi ana matatizo Sana tangu awe na huyu mnaija full kujiropokea arudiane na baby daddy wake tu
Gigy, kaanza mapenzi siku nyingi mno na alikuwa hapendi sasa hivi ameanza kukua na kupenda kunamjia aisee ukijumlisha na mipombe anayotumia akifikiria jicho anavyoliwa she get madAiseee! 🤔 Nilimuangalia sana juzi wakati akipigana na yule jamaa ake nikajisemea, something isn't right in her head. Poor Giggy!
Let's meet at the top, cheers 🥂
Exactly, nimeona kwa Watoto wa Mbezi. Kuna lifestyle wanaona wamemalizaTatizo sio balehe tatizo ni who are your friends au una interact na watu wa aina gani sana.
Binafsi nimezaliwa katika familia yenye uwezo ila isiyojali sana kuhusu nini mtoto anafanya na nini hafanyi.
faida zipi hizoSio hivyo boss, sishauri yeyote atumie. Japo ina faida zake kuubwa sana
Huo mtindo wa maisha sio mzuri endapo one of crewe member akiwa mtumiaji wa chochote.Exactly, nimeona kwa Watoto wa Mbezi. Kuna lifestyle wanaona wamemaliza