Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutuhadithia movieHiyo kitu inatumika sana kupimp mademu,yaani akitest tu siku asipopata unamwambia kuna jamaa ana mshiko nyonya mashine yake atakulipa, akishalipwa pesa yote inaenda kwa dealer afu wewe tayari apo ushampimpi unakula chako.
Movie kivipi?Niambie malaya gani anayejiuza mtaani iwe Jberg,New york,Paris,Bongo,London pesa inapelekwa wapi kama siyo kwa mapusha wa Crack na Pimps.Acha kutuhadithia movie
Halafu hawa wanaija hawawajui tu ni matapeli kishenzi wa mapenz kuna mama mmoja huku kamuacha mume wake kisa mnaija na huyo mama anapesa ndefu tuHuyo mnaija ndo kamharibu gigy money vibaya sikuhizi hayuko sawa ana hitaji tiba
Hao malaya unawazungumzia ni hawa hawa tunaopiga mitaani au wa huko parisMovie kivipi?Niambie malaya gani anayejiuza mtaani iwe Jberg,New york,Paris,Bongo,London pesa inapelekwa wapi kama siyo kwa mapusha wa Crack na Pimps.
Bangi inaweza kuwa na positive effects kwa baadhi ya watu ila shida inakuja hapa: Ukishaizoea, unapata shida kubwa sana unaposafiri au kuwa sehemu ambayo huwezi kuipata kwa wakati ule. Kwa mfano unaweza kusafiri kwenda nchi za nje, sasa mpaka uje uzoee mazingira na kujua vijiwe wa kuipata unakuwa umeshapata shida sana. Na nchi nyingine bei yake ni ghali. Pia unakuwa unaishi kama panya kwani muda wowote unaweza kukamatwa.The same
Huyo maza atapigwa tukio takatifu mpaka achaganyikiwe atakapoachiwa zero balance kwenye accountHalafu hawa wanaija hawawajui tu ni matapeli kishenzi wa mapenz kuna mama mmoja huku kamuacha mume wake kisa mnaija na huyo mama anapesa ndefu tu
Bangi inaweza kuwa na positive effects kwa baadhi ya watu ila shida inakuja hapa: Ukishaizoea, unapata shida kubwa sana unaposafiri au kuwa sehemu ambayo huwezi kuipata kwa wakati ule. Kwa mfano unaweza kusafiri kwenda nchi za nje, sasa mpaka uje uzoee mazingira na kujua vijiwe wa kuipata unakuwa umeshapata shida sana. Na nchi nyingine bei yake ni ghali. Pia unakuwa unaishi kama panya kwani muda wowote unaweza kukamatwa.
Nashangaa watu wanaoizungumzia vibaya cannabis , huu mmea una faida nyingi kuliko hasara, natamani watu wangejua ukweli wa hili jambo.Acha kuhusisha bange na mirembe, hakuna utafiti wowote kisayansi nana yeyote ile iliyo wahi kurithibitishia hilo.
Wengi wanarongwa akili zao kwa kupitia bange na jamii kuaminishwa sababu ni bange.
Tuna miaka kenda mpaka sasa mm na jamaa zangu tunaenjoy na hii kitu, fatilia miji iliyoruhusu bange kama kuna tatizo hilo.
Hata kwa miandiko tu 😅 huwa wanajuana, mkuu kwanini unataka kuuacha mmea (rafiki wa kweli), ni mabinti zako tu au kuna sababu nyingine nyuma????kitu ambacho hukijui, ipo hivi wala 'weed' karibia wote duniani wanatambuana na hasa wakiangaliana machoni, na ndiyo maana huwa hawapati shida wanapokuwa ugenini, mvuta bange akimwangalia mvuta bangi mwenzake machoni wanajuana yaani kuna namna ya telepathic communication between wala jani, hivyo kama wewe upo kwenye chama la wana hata huende macca au vatican yaani utapata huduma ya mmea tuu kutegemeana na 'mfuko' wako na mabo yanakwenda……………..
kwenye maisha ya kibinadamu inafika sehem inabidi ukubali 'kutundika' daruga 'for the safe of others' na hasa familia, mabinti zangu bado ni wadogo & very cute, sijui ni kutokana na malezi ya mama yao, sipendi kuwatesa kisaikolojia kwa namna yoyote na sipendi wapitei mapito niliyo yapitia, maisha yangu nime hustle kweli kweli kwenye kuitafuta shillingi, vile vile kwa sasa umri wangu unasogea sogea…...Hata kwa miandiko tu 😅 huwa wanajuana, mkuu kwanini unataka kuuacha mmea (rafiki wa kweli), ni mabinti zako tu au kuna sababu nyingine nyuma????
Let's meet at the top, cheers 🥂
Wisely! Kongole kwako mkuu.🤝🏽, ngoja sisi tuendelee kukitumikia chama.kwenye Maisha ya binadamu inafika sehem inabidi ukubali 'kutundike' daruga 'for the safe of others', mabinti zangu they are very cute sijui ni kutokana na malezi ya mama yao, sipendi kuwatesa kisaikolojia kwa namna yoyote na sipendi wapitei mapito niliyo yapitia, vile vile kwa sasa umri wangu unasogea sogea…...
Hata hao unaopiga mitaani kimboka na uwanja wa fisi ni Crackheads kama siyo Smackheads.Hao malaya unawazungumzia ni hawa hawa tunaopiga mitaani au wa huko paris
Hao malaya unawazungumzia ni hawa hawa tunaopiga mitaani au wa huko paris
binafsi huwa naami hivi, kwa kijana/mwanaume ambaye hajatumia 'kijiti' kwa kweli kuna kitu maishani mwake amepungukiwa, sidhani akina obama, bush, putin, haile selaise, kenyata junior & senior, kagame etc kama walikosea kuuchagua mmea maishani mwao, mengine yanabakia chini ya kapeti………………..Wisely! Kongole kwako mkuu.🤝🏽, ngoja sisi tuendelee kukitumikia chama.
Let's meet at the top, cheers 🥂
Kuna watu hawawezi kukuelewa hapa chief, 😅binafsi huwa naami hivi, kwa kijana/mwanaume ambaye hajatumia 'kijiti' kwa kweli kuna kitu maishani mwake amepungukiwa, sidhani akina obama, bush, putin, haile selaise, kenyata junior & senior, kagame etc kama walikosea kuuchagua mmea maishani mwao, mengine yanabakia chini ya kapeti………………..
Nakubalina na wewe. Hata kujua vijiwe vyake ni rahisi. Ila kuna hili mtu anaweza kuwa kwenye dharura ambayo anakosa nafasi ya kutafuta na kuitumia, japo kwa muda. Na sehemu nyingine kama Ulaya unakuta bei yake iko juu kiasi ambacho kama hujakaa vzr mfukoni unapata tabu sana.kitu ambacho hukijui, ipo hivi wala 'weed' karibia wote duniani wanatambuana na hasa wakiangaliana machoni, na ndiyo maana huwa hawapati shida wanapokuwa ugenini, mvuta bange akimwangalia mvuta bangi mwenzake machoni wanajuana yaani kuna namna ya telepathic communication between wala jani, hivyo kama wewe upo kwenye chama la wana hata huende macca au vatican yaani utapata huduma ya mmea tuu kutegemeana na 'mfuko' wako na mambo yanakwenda……………..
Yani nipoteze muda wangu kufuatilia wavuta bangi, we endelea kuvuta kwa raha zako.Acha kuhusisha bange na mirembe, hakuna utafiti wowote kisayansi nana yeyote ile iliyo wahi kurithibitishia hilo.
Wengi wanarongwa akili zao kwa kupitia bange na jamii kuaminishwa sababu ni bange.
Tuna miaka kenda mpaka sasa mm na jamaa zangu tunaenjoy na hii kitu, fatilia miji iliyoruhusu bange kama kuna tatizo hilo.
Nawengi sana ukiangalia utakuta crew yake yote wapo hivo hivo, ila nafikiri kingine ni mindset ya mtu tu, kuna watu wana crew kama hivo lakini unamkuta sio mtumiaji.Kuiga IGA hasa ukiwa na company wanakushawishi usipokuwa unachaganya na zako lazima ile kwako
Mkuu uamuzi unaotaka kuuchukua hakika Malipo yake yatakuwa mazuri sana, mana binti kujua mshua mwanachama inamuumiza sana ivo umeamua kwa ajili yao na hakika hio ndio fatherhoodkwenye maisha ya kibinadamu inafika sehem inabidi ukubali 'kutundika' daruga 'for the safe of others' na hasa familia, mabinti zangu bado ni wadogo & very cute, sijui ni kutokana na malezi ya mama yao, sipendi kuwatesa kisaikolojia kwa namna yoyote na sipendi wapitei mapito niliyo yapitia, maisha yangu nime hustle kweli kweli kwenye kuitafuta shillingi, vile vile kwa sasa umri wangu unasogea sogea…...