Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Pole Sana ulikuwa unakula cocaine chafu low grades mpaka urudi inachukua mda Bora hata bsnge kuliko cocaine,I think gigy money naye anatumia hyo
Gigy anakula bange mpk puli zima na whisky pembeni
 
Atakuwa anakula hizi crack maana vyote alivoandika mleta mada gigy ndio ana vifanys
Aiseee! 🤔 Nilimuangalia sana juzi wakati akipigana na yule jamaa ake nikajisemea, something isn't right in her head. Poor Giggy!

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Pole Sana ulikuwa unakula cocaine chafu low grades mpaka urudi inachukua mda Bora hata bsnge kuliko cocaine,I think gigy money naye anatumia hyo
Siwezi kumsemea mtu, ila i may be the master of some few drugs.

Cocaine grades zinatofautiana kutokana na nini kimeongezwa, na cocaines zote lazima ziongezewe drugs zingine ili faida ipatikane wanapofanya packaging.
 
Sikuhizi ana matatizo Sana tangu awe na huyu mnaija full kujiropokea arudiane na baby daddy wake tu
Mtu anayetumia Cocaine hawezi kuropoka kama Gigy na inakuwa si rahisi kumgundua as long as ana pesa.

Unaweza ukashangaa lakini Pombe inafanya hayo huyo Gigy ni mtumiaji mzuri sana wa pombe kali kimtaani wanaziita Makausha K ndizo zinamfanya awe hivyo.

And we mens really enjoy that anachezewa michezo yote michafu.
 
Aiseee! 🤔 Nilimuangalia sana juzi wakati akipigana na yule jamaa ake nikajisemea, something isn't right in her head. Poor Giggy!

Let's meet at the top, cheers 🥂
Gigy, kaanza mapenzi siku nyingi mno na alikuwa hapendi sasa hivi ameanza kukua na kupenda kunamjia aisee ukijumlisha na mipombe anayotumia akifikiria jicho anavyoliwa she get mad
 
Ushawahi vuta Jiwe Mkuu,Maana hilo Jiwe (Crack)ni tamu kuliko Pilau mbuzi,Yaani ndiyo ulevi unaweza Spend kuliko kitu chochote.
 
Wee acha tu hiyo kitu. Sometimes unashindwa kupata usingizi zaidi ya wiki mbili, sema mungu alinijalia kuacha aina zote za drugs
Ulikuwa mpenzi wa drug ipi sana kocha?
 
Ushawahi vuta Jiwe Mkuu,Maana hilo Jiwe (Crack)ni tamu kuliko Pilau mbuzi,Yaani ndiyo ulevi unaweza Spend kuliko kitu chochote.
Hahahaha! Baba unadevera
 
Tatizo sio balehe tatizo ni who are your friends au una interact na watu wa aina gani sana.

Binafsi nimezaliwa katika familia yenye uwezo ila isiyojali sana kuhusu nini mtoto anafanya na nini hafanyi.
Exactly, nimeona kwa Watoto wa Mbezi. Kuna lifestyle wanaona wamemaliza
 
Exactly, nimeona kwa Watoto wa Mbezi. Kuna lifestyle wanaona wamemaliza
Huo mtindo wa maisha sio mzuri endapo one of crewe member akiwa mtumiaji wa chochote.

akipenda wanawake wote mtakuwa malaya, akiwa mtu wa adventures wote mtakuwa hivyo, akiwa mtu wa kupambaika wote mtakuwa hivyo.
maana hela si ipo
 
Back
Top Bottom