Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Hapa nazungumzia mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma
Kwanza kabisa watu hawa wana utamaduni tofauti na wa mikoa mingine. Ni mikoa yenye wakosoaji wachache sana nchini,ni mikoa yenye maendeleo duni sana,ni mikoa ya mwisho mwisho kabisa.
Huwezi kusikia mbunge fulani au mwanaharakati hata wa mtandaoni akikosoa au akiiomba serikali ifanye jambo fulani ndani yao.
Hawa a utamaduni wa kujenga wala kurudi kwao kabisa. Kwa mfano watu Songea wengi wao wakishaondoka huwa hawageuki nyuma na kuangalia au kupeleka maendeleo nyumbani ni Edo Kumwembe tu ndio huwa anarudi nyumbani mwisho wa mwaka. Wengine wakipa likizo lazima wakalie Serengeti, Ngorongoro na sehemu nyingine nzuri nzuri.
Kuna rafiki yangu mmoja anatoka Lihuli anapiga mishe Dodoma lakini amekuja Dar kula bata badala ya kwenda kwao. Nilimuuliza una muda gani hujaenda kwenu anasema ana miaka mi5 na hana mpango nako. Hapamvutii.
Hata ukiangalia mwamko wa kisiasa bado uko chini sana. Wengi huamini siasa hazina faida kwa wananchi.
Kaskazini inaongoza kwa kurudi mwisho wa mwaka na kurudi huko ni kwenda kurekebisha nyumbani kwao,kutoa aibu kipindi akipata wageni. Kwenda kuona mwenzake kaja na nini ili na yeye akirudi apambane aweze kumfikia au hata kumpita.
Sio kila anaerudi anaenda kutambika na kusherehekea Krismas sababu watu wa dini zote hurudi kipindi hicho hicho.
Asanteni.