Watu wanajiuliza kwanini mwaka wa 50 mataifa yenye nguvu duniani wanaipiga Palestina lakini bado vidume vipo pale pale na wanasubiri NATO na Israel waingie kwa miguu wateketee. Ingalikuwa nchi nyengine kama sio waislam wote wangalikuwa washakimbia na washahama kabisa kila kitu Chao.
Tunaona Rais wa Ukrain anavyohangaika duniani kulia na kuomba misaada ya kijeshi kila sehemu. Tunaona NATO yote ipo Ukrain na bado Rais wao anawasiwasi.
Tofauti na Palestina wametulia wanasubiri wiki ya 6 hii waingie kwa miguu wawashe.
Kwanini Gaza bado jamaa wapo fiti;
1. Muislam akiuliwa anapigania nchi yake anaingia peponi anaongia peponi.
2. Kuna jeshi kubwa nyuma ambalo Isreal na NATO wanaliona kinyume na matarajio yao.
3. Dua za waislam duniani zinawatia hofu kabisa.
Hivi vita mwisho mbaya kwa Letanyahu, inasemekana amepooza mikono.