Watu wanaandika lkn akili sijui hua zimehama au ni ulevi wa dini tu ambao tunaambiwa ni mbaya kushinda wa pombe.
Huelewi kwamba miongoni mwa wapalestina kuna wakristo karibu asilimia 20 ambapo ukiwatafuta wasomi kabisa wa kipalestina ndio unakowapata na wengi wao ndio wale mnaowaona wakiandamana katika nchi za magharibi na wao mabikra 72 wale hawawahusu kabisa.
Wao wanaandamana huko kwa amani na wala huwezi kuwaona wakifanya fujo kwa sababu wanaamini ni kinyume na mafundisho ya dini yao ila wanataka waishi tu sambamba na waisrael na huko mashariki ya kati wengi wao wanafanya kazi nchini Israel.