Sababu zinazofanya Waislam Gaza wasikate tamaa

Sasa huko peponi au kuzimu?
Yaani nipigane mpaka nife alafu allah ananimbia atanipa mademu wa kiarabu wenye macho makubwa ya ulegevu
allah angekuwa karibu yangu ningemkata kibao ni mwambie acha uduwanzi.
 
Naomba Google tu kuna wapalestina milioni 25 nje ya Gaza hao ni mara 10 ya waliopo Gaza, pili wanapigwa sana na kuuliwa mno kwa sababu ya ujinga mkubwa wa kikundi kidogo kinachojiita Hamas wanaodai haki yao kwa mtutu. mtutu unatakiwa ujipime je unaweza kustahimili? Safari hii watauliwa zaidi ya elfu 50 taratibu taratibu na nadhani zaidi ya elfu 10 wapo knye vifusi raia wasio na hatia kabisa kisa wajinga Hamas tu
 
Kudai haki kwa kufanya Ugaidi ni ujinga kwa sababu unaua ndugu zako wasio na hatia revenge inapoanza na Israel anafanya makusudi sana kuwapunguza nguvu ya kiuchumi , kapata sababu sasahivi ya kuwaonea kwa miaka zaidi ya 40 tena
 
Muislam akiuliwa anapigania nchi yake anaingia peponi anaongia peponi.

2. Kuna jeshi kubwa nyuma ambalo Isreal na NATO wanaliona kinyume na matarajio yao.
Hivi ni mbingu gani hii inasemwa na hawa ndugu ?
Nahisi ni sehe,mu tofauti kabisa na mbinguni
 
wakorofi ni wapalestina , vita vya wapalestina na waarabu ni kuwaondoa waisrael sijui wao wana taka israrl ikaishi wap ? na mara zote wanaanzisha vamizi ili kuiondoa Israel hapo
Kwanini unasema wakorofi ni wapalestina!?
Je eneo alilopewa muisrael ndio hili la leo!?
Kifupi baina ya hao wawili hakuna anaemtaka mwenzie,
Israel eneo lote anataka liwe lake, na mpalestina hivyo hivyo.
Ilibidi kila mtu aishi kwenye eneo alilopewa mwaka 47.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…