Sababu zinazofanya wanatajirisha wengine wao wanabakia masikini

Kuna namna ubongo unaunda ujuzi bila kusoma mahali wala kuambiwa na mtu,
Ni kweli ndio maana wanasayansi mbalimbali na phylosopher wengi hawakupita shule. Kwa kufikiria tu waliweza kugubdua mengi tu bila kusoma. Kisayansi hutambulika kama Autodidactism
kuna moja ya andiko lako ulisema kwamba kwenye maisha kila kitu kina ukinzano wake. Nikakumbuka hiyo ni kauli nimetoka kumwambia mtu siku kadhaa nyuma na leo nimeikuta humu.
Naam kila kitu kina ukinzano wake ili kubalance nature. Observe, utagundua hili ni kweli
 
Watu wa imani ndio wa binafsi ndio maana kila imani
inakuambia Mungu wake ndio wa ukweli sasa sijui kati ya imani zaidi ya 3000 zilizopo
Mungu yupi ni wa ukweli.
Kisayanyi You can't create from nothing...Natuamaini Mungu mkuu aliyetuumba yupo. Kumjua yahitaji roho na kweli
 
Waganga wa kienyeji wanaotumia nguvu za giza (evil spirits) hawako free. Hawa ni watumwa wa nguvu hizo or at least ni lenders (wakodishaji) wa nguvu hizo. Nguvu za giza ni mali ya ufalme wa giza na hutolewa kwa ajili ya malengo na makusudio ya ufalme wa giza.

Ufalme wa giza (Shetani na malaika zake) hawamiliki chochote kizuri by principle. Wanachoweza kufanya ni kuiba kutoka kwa Muumba (Mungu) na β€œkuwapa β€œ binadamu wanaokuja kwao kuomba ila kwa masharti maalumu yenye lengo la kutengeneza mazingira ya kumwondolea mteja umiliki wa kudumu.

Waganga β€œwanawapa β€œ wengine mali ila kimsingi sio mali ya kweli yenye uhuru na furaha kama ile mali itokayo kwa Mungu na ndio maana wenye mali za kiganga hawana furaha ya kweli. Gharama za umiliki wa mali ya kiganga ni kubwa na waganga wengi hawapo tayari kulipa gharama hizo au hawaruhusiwi ila kuwa watumishi tu kwa wengine.

NB: HAKUNA KIZURI CHA KWELI KUTOKA KWA SHETANI NA MAWAKALA WAKE.
 
Nilisoma kuhusu slavery in the ROMAN EMPIRE, niliogopa mno, siku hzi mambo ni shwar.
 
We jamaa tunaendana sana, maombi yangu yote tokea nikiwa na miaka 15 ni ya kiasili, na-jiconnect na waliounganika na mimi
Mimi naitwa taamu nina mungu wangu wa kipogoro na mila zake. Ibrahim abaki na mungu wake pia. Kitu kikubwa kwangu ni asili yangu haswa weusi wangu.
 
Law of attraction πŸ”₯
 
Nimefurahi kujikuta ndani ya huu uzi,nimejifunza kitu kipya leo, ubarikiwe [emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…