Sababu zinazoifanya Tanzania isiathiriwe sana na vimbunga

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,628
Reaction score
6,411
Kimbunga ni upepo unaozunguka kiini chenye mgandamizo Mdogo kinyume cha saa upande wa Kaskazini wa Dunia na kama saa upande wa kusini wa Dunia. Mantiki ya mzunguko hapa inajengwa na namna mshale wa saa unavyozunguka.

Upepo huu huongeza mwendokasi wake kadiri unavyozunguka. Inakadiriwa mwendokasi unaweza kufikia kilomita 150 kwa saa. Vimbunga katika ukanda wa kitropiki vinaweza kuendelea kuanzia masaa kadhaa mpaka wiki mbili. Wastani wa muda wa uhai wa kimbunga ni siku sita.

Bahari ni chanzo muhimu sana cha nguvu za vimbunga kwa kupitia njia ya kuzalisha joto katika nyuso zake " joto hisi" na pia kufukiza kwa maji. Joto hili na mvuke wa maji hugandamanishwa na kuzalisha "joto fiche".

Vimbunga vinaposafiri kuelekea Nchi kavu hupoteza joto fiche na hivyo mzunguko wake kudhohofika mara dufu.

Tanzania ni miongoni mwa Nchi zinazopitiwa na vimbunga mara chache sana kutokana na ukaribu wake na ukanda wa Kiikweta ambapo kani inayosukuma mzunguko wa hewa iitwayo Coriol ni ndogo mno. Hali hii huvifanya vimbunga kukosa nguvu ya kuzunguka zaidi na hivyo madhara huwa ni madogo.

Nguvu ya Coriol ni kani ya kufikirika inayoelezea mpindo wa vitu vinapotembea katika latitudo ukiwianisha na kuviangalia vitu hivyo katika Dunia. Kwa mfano ndege inapopaa ikiwa upande wa Kusini wa Ikweta huenda juu lakini si katika mstari mnyoofu ila kwa kupinda uelekeo kidogo kuelekea kushoto.

Tanzania inapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kubwa hususani katika suala zima la kupunguza uchafuzi wa maji ya bahari ili kupunguza mazingira ya kuzaliwa kwa vimbunga au kuviongezea nguvu

Mwl. Mlaki
Geog dept, 2021
 
Kimbunga ni upepo unaozunguka kiini chenye mgandamizo Mdogo kinyume cha saa upande wa Kaskazini wa Dunia na kama saa upande wa kusini wa Dunia. Mantiki ya mzunguko hapa inajengwa na namna mshale wa saa unavyozunguka.

Upepo huu huongeza mwendokasi wake kadiri unavyozunguka. Inakadiriwa mwendokasi unaweza kufikia kilomita 150 kwa saa. Vimbunga katika ukanda wa kitropiki vinaweza kuendelea kuanzia masaa kadhaa mpaka wiki mbili. Wastani wa muda wa uhai wa kimbunga ni siku sita.

Bahari ni chanzo muhimu sana cha nguvu za vimbunga kwa kupitia njia ya kuzalisha joto katika nyuso zake " joto hisi" na pia kufukiza kwa maji. Joto hili na mvuke wa maji hugandamanishwa na kuzalisha "joto fiche".

Vimbunga vinaposafiri kuelekea Nchi kavu hupoteza joto fiche na hivyo mzunguko wake kudhohofika mara dufu.

Tanzania ni miongoni mwa Nchi zinazopitiwa na vimbunga mara chache sana kutokana na ukaribu wake na ukanda wa Kiikweta ambapo kani inayosukuma mzunguko wa hewa iitwayo Coriol ni ndogo mno. Hali hii huvifanya vimbunga kukosa nguvu ya kuzunguka zaidi na hivyo madhara huwa ni madogo.

Nguvu ya Coriol ni kani ya kufikirika inayoelezea mpindo wa vitu vinapotembea katika latitude ukiwianisha na kuviangalia city hivyo katika Dunia.

Tanzania inapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kubwa hususani katika suala zima la kupunguza uchaguzi wa maji ya bahari ili kupunguza mazingira ya kuzaliwa kwa vimbunga au kuviongezea nguvu vimbunga.

Mwl. Mlaki
Geog dept, 2021
Hapo mwisho kama umetumia tafsiri ya google....hueleweki!!!
 
Asante Mwl. Victor Mlaki kwa ufafanuzi mzuri. Ni swali....
Kwa nini nchi ya Msumbiji inasumbuliwa na Vimbunga mara kwa mara kuliko Madagascar au Tanzania ambazo zipo karibu nayo?
 
Kuna mdau humu jF pia alidadavua kuwa sababu nyingine ni kuwepo na upepo kinzani pwani ya kusini bahari ya hindi, kwamba kuna mawimbi bahari yaitwayo Mozambique current ambayo huzaa upepo unaovuma kuelekea kusini mashariki hivyo vimbunga tokea huko kama JOBO vinapunguzwa nguvu kwa ukinzani.

Kuhusu Ikweta akadadavua kuwa vimbunga huwa vinavuma kuelekea mbali na ikweta sio kuelekea ikweta. Ikitikea kimbunga kinavuma kuelekea mstari wa ikweta.. yaani tokea kusini mwa tz kuelekea kaskazini kinakuwa kinapungua nguvu na kwamba kimbunga huisha nguvu kabisa kikifika mstari wa ikweta ambao unapita Kaskazini mwa Tz kama Kebya na Uganda.. hivyo JOBO angeweza tu kuleta madhara kusini kama Lindi na Mtwara latitude 6s na sio Dar es salaam latitude 9s
 
Asante Mwl. Victor Mlaki kwa ufafanuzi mzuri. Ni swali....
Kwa nini nchi ya Msumbiji inasumbuliwa na Vimbunga mara kwa mara kuliko Madagascar au Tanzania ambazo zipo karibu nayo?
kuna mdau alidadavua kuhusu athali za umbali kutoka ikweta na vimbunga. Kuhusu Ikweta akadadavua kuwa vimbunga huwa vinavuma kuelekea mbali na ikweta sio kuelekea ikweta. Ikitikea kimbunga kinavuma kuelekea mstari wa ikweta.. yaani tokea kusini mwa tz kuelekea kaskazini kinakuwa kinapungua nguvu na kwamba kimbunga huisha nguvu kabisa kikifika mstari wa ikweta ambao unapita Kaskazini mwa Tz kama Kebya na Uganda.. hivyo JOBO angeweza tu kuleta madhara kusini kama Lindi na Mtwara latitude 6s na sio Dar es salaam latitude 9s. Hivyo Msumbiji iko kusini zaidi mwa ikweta yani IKO MBALI SANA NA MSTARI WA IKWETA
 
Niko maabara hapa ninatengeneza missile ambayo itaweza kutungua kiini cha kimbunga na kudistort mzunguko hivyo kukiteketeza kabisa.
 
Asante Mwl. Victor Mlaki kwa ufafanuzi mzuri. Ni swali....
Kwa nini nchi ya Msumbiji inasumbuliwa na Vimbunga mara kwa mara kuliko Madagascar au Tanzania ambazo zipo karibu nayo?
Naam, Msumbiji na Madagaska huathiriwa ana kutokana na chanzo cha vimbunga vingi vinavyofika ukanda wa Afrika kilichopo kusini Magharibi mwa bahari ya Hindi ambapo upepo huzunguka kama mshale wa saa kutokana na eneo hili lilipo (yaani Kusini mwa Ikweta).

Inakadiriwa tufani 9 mpaka 10 za kitropiki kuanzia katika eneo hilo nililolitaja na huduma kuelekea Magharibi katika msambaba na pia kusini mwa Ikweta kuelekea Madagaska na Msumbiji.
 
Kimbunga ni upepo unaozunguka kiini chenye mgandamizo Mdogo kinyume cha saa upande wa Kaskazini wa Dunia na kama saa upande wa kusini wa Dunia. Mantiki ya mzunguko hapa inajengwa na namna mshale wa saa unavyozunguka.

Upepo huu huongeza mwendokasi wake kadiri unavyozunguka. Inakadiriwa mwendokasi unaweza kufikia kilomita 150 kwa saa. Vimbunga katika ukanda wa kitropiki vinaweza kuendelea kuanzia masaa kadhaa mpaka wiki mbili. Wastani wa muda wa uhai wa kimbunga ni siku sita.

Bahari ni chanzo muhimu sana cha nguvu za vimbunga kwa kupitia njia ya kuzalisha joto katika nyuso zake " joto hisi" na pia kufukiza kwa maji. Joto hili na mvuke wa maji hugandamanishwa na kuzalisha "joto fiche".

Vimbunga vinaposafiri kuelekea Nchi kavu hupoteza joto fiche na hivyo mzunguko wake kudhohofika mara dufu.

Tanzania ni miongoni mwa Nchi zinazopitiwa na vimbunga mara chache sana kutokana na ukaribu wake na ukanda wa Kiikweta ambapo kani inayosukuma mzunguko wa hewa iitwayo Coriol ni ndogo mno. Hali hii huvifanya vimbunga kukosa nguvu ya kuzunguka zaidi na hivyo madhara huwa ni madogo.

Nguvu ya Coriol ni kani ya kufikirika inayoelezea mpindo wa vitu vinapotembea katika latitude ukiwianisha na kuviangalia city hivyo katika Dunia.

Tanzania inapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kubwa hususani katika suala zima la kupunguza uchafuzi wa maji ya bahari ili kupunguza mazingira ya kuzaliwa kwa vimbunga au kuviongezea nguvu

Mwl. Mlaki
Geog dept, 2021
Mwalimu mshamba sana....sababu kubwa ni MUNGU ametuokoa.

Ingetokea kimbunga kikaathiri watu ungesemaje?

Asie amini ktk nguvu za Mungu ni mpumbavu!
 
Hapo mwisho kama umetumia tafsiri ya google....hueleweki!!!
Hapo katkat kasema kwa tanzania sio rahisi kupata madhara, mwisho tuendelee kuchukua taadhari sijui alimaanisha nini
 
Mwal Umeelezea vema sana ila umeacha vitu muhimu kidogo kuna mambo ya angles pale na mengine mengi

Hongera
 
Back
Top Bottom