Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Hapo mwisho kama umetumia tafsiri ya google....hueleweki!!!Kimbunga ni upepo unaozunguka kiini chenye mgandamizo Mdogo kinyume cha saa upande wa Kaskazini wa Dunia na kama saa upande wa kusini wa Dunia. Mantiki ya mzunguko hapa inajengwa na namna mshale wa saa unavyozunguka.
Upepo huu huongeza mwendokasi wake kadiri unavyozunguka. Inakadiriwa mwendokasi unaweza kufikia kilomita 150 kwa saa. Vimbunga katika ukanda wa kitropiki vinaweza kuendelea kuanzia masaa kadhaa mpaka wiki mbili. Wastani wa muda wa uhai wa kimbunga ni siku sita.
Bahari ni chanzo muhimu sana cha nguvu za vimbunga kwa kupitia njia ya kuzalisha joto katika nyuso zake " joto hisi" na pia kufukiza kwa maji. Joto hili na mvuke wa maji hugandamanishwa na kuzalisha "joto fiche".
Vimbunga vinaposafiri kuelekea Nchi kavu hupoteza joto fiche na hivyo mzunguko wake kudhohofika mara dufu.
Tanzania ni miongoni mwa Nchi zinazopitiwa na vimbunga mara chache sana kutokana na ukaribu wake na ukanda wa Kiikweta ambapo kani inayosukuma mzunguko wa hewa iitwayo Coriol ni ndogo mno. Hali hii huvifanya vimbunga kukosa nguvu ya kuzunguka zaidi na hivyo madhara huwa ni madogo.
Nguvu ya Coriol ni kani ya kufikirika inayoelezea mpindo wa vitu vinapotembea katika latitude ukiwianisha na kuviangalia city hivyo katika Dunia.
Tanzania inapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kubwa hususani katika suala zima la kupunguza uchaguzi wa maji ya bahari ili kupunguza mazingira ya kuzaliwa kwa vimbunga au kuviongezea nguvu vimbunga.
Mwl. Mlaki
Geog dept, 2021
Asante Mwl. Victor Mlaki kwa ufafanuzi mzuri. Ni swali....Kimbunga ni upepo unaozunguka kiini chenye mgandamizo Mdogo kinyume cha saa upande wa Kaskazini wa Dunia na kama saa upande wa kusini wa Dunia. Mantiki ya mzunguko hapa inajengwa na namna mshale wa saa unavyozunguka.
Upepo huu huongeza mwendokasi wake kadiri unavyozunguka. Inakadiriwa mwendokasi unaweza kufikia kilomita 150 kwa saa. Vimbunga katika ukanda wa kitropiki vinaweza kuendelea kuanzia masaa kadhaa mpaka wiki mbili. Wastani wa muda wa uhai wa kimbunga ni siku sita.
Bahari ni chanzo muhimu sana cha nguvu za vimbunga kwa kupitia njia ya kuzalisha joto katika nyuso zake " joto hisi" na pia kufukiza kwa maji. Joto hili na mvuke wa maji hugandamanishwa na kuzalisha "joto fiche".
Vimbunga vinaposafiri kuelekea Nchi kavu hupoteza joto fiche na hivyo mzunguko wake kudhohofika mara dufu.
Tanzania ni miongoni mwa Nchi zinazopitiwa na vimbunga mara chache sana kutokana na ukaribu wake na ukanda wa Kiikweta ambapo kani inayosukuma mzunguko wa hewa iitwayo Coriol ni ndogo mno. Hali hii huvifanya vimbunga kukosa nguvu ya kuzunguka zaidi na hivyo madhara huwa ni madogo.
Nguvu ya Coriol ni kani ya kufikirika inayoelezea mpindo wa vitu vinapotembea katika latitude ukiwianisha na kuviangalia city hivyo katika Dunia.
Tanzania inapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kubwa hususani katika suala zima la kupunguza uchaguzi wa maji ya bahari ili kupunguza mazingira ya kuzaliwa kwa vimbunga au kuviongezea nguvu vimbunga.
Mwl. Mlaki
Geog dept, 2021
Kuna mdau humu jF pia alidadavua kuwa sababu nyingine ni kuwepo na upepo kinzani pwani ya kusini bahari ya hindi, kwamba kuna mawimbi bahari yaitwayo Mozambique current ambayo huzaa upepo unaovuma kuelekea kusini mashariki hivyo vimbunga tokea huko kama JOBO vinapunguzwa nguvu kwa ukinzani.Kimbunga ni upepo unaozunguka kiini chenye mgandamizo Mdogo kinyume cha saa upande wa Kaskazini wa Dunia na kama saa upande wa kusini wa Dunia. Mantiki ya mzunguko hapa inajengwa na namna mshale wa saa unavyozunguka.
Upepo huu huongeza mwendokasi wake kadiri unavyozunguka. Inakadiriwa mwendokasi unaweza kufikia kilomita 150 kwa saa. Vimbunga katika ukanda wa kitropiki vinaweza kuendelea kuanzia masaa kadhaa mpaka wiki mbili. Wastani wa muda wa uhai wa kimbunga ni siku sita.
Bahari ni chanzo muhimu sana cha nguvu za vimbunga kwa kupitia njia ya kuzalisha joto katika nyuso zake " joto hisi" na pia kufukiza kwa maji. Joto hili na mvuke wa maji hugandamanishwa na kuzalisha "joto fiche".
Vimbunga vinaposafiri kuelekea Nchi kavu hupoteza joto fiche na hivyo mzunguko wake kudhohofika mara dufu.
Tanzania ni miongoni mwa Nchi zinazopitiwa na vimbunga mara chache sana kutokana na ukaribu wake na ukanda wa Kiikweta ambapo kani inayosukuma mzunguko wa hewa iitwayo Coriol ni ndogo mno. Hali hii huvifanya vimbunga kukosa nguvu ya kuzunguka zaidi na hivyo madhara huwa ni madogo.
Nguvu ya Coriol ni kani ya kufikirika inayoelezea mpindo wa vitu vinapotembea katika latitude ukiwianisha na kuviangalia city hivyo katika Dunia.
Tanzania inapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kubwa hususani katika suala zima la kupunguza uchaguzi wa maji ya bahari ili kupunguza mazingira ya kuzaliwa kwa vimbunga au kuviongezea nguvu vimbunga.
Mwl. Mlaki
Geog dept, 2021
kuna mdau alidadavua kuhusu athali za umbali kutoka ikweta na vimbunga. Kuhusu Ikweta akadadavua kuwa vimbunga huwa vinavuma kuelekea mbali na ikweta sio kuelekea ikweta. Ikitikea kimbunga kinavuma kuelekea mstari wa ikweta.. yaani tokea kusini mwa tz kuelekea kaskazini kinakuwa kinapungua nguvu na kwamba kimbunga huisha nguvu kabisa kikifika mstari wa ikweta ambao unapita Kaskazini mwa Tz kama Kebya na Uganda.. hivyo JOBO angeweza tu kuleta madhara kusini kama Lindi na Mtwara latitude 6s na sio Dar es salaam latitude 9s. Hivyo Msumbiji iko kusini zaidi mwa ikweta yani IKO MBALI SANA NA MSTARI WA IKWETAAsante Mwl. Victor Mlaki kwa ufafanuzi mzuri. Ni swali....
Kwa nini nchi ya Msumbiji inasumbuliwa na Vimbunga mara kwa mara kuliko Madagascar au Tanzania ambazo zipo karibu nayo?
Naam, Msumbiji na Madagaska huathiriwa ana kutokana na chanzo cha vimbunga vingi vinavyofika ukanda wa Afrika kilichopo kusini Magharibi mwa bahari ya Hindi ambapo upepo huzunguka kama mshale wa saa kutokana na eneo hili lilipo (yaani Kusini mwa Ikweta).Asante Mwl. Victor Mlaki kwa ufafanuzi mzuri. Ni swali....
Kwa nini nchi ya Msumbiji inasumbuliwa na Vimbunga mara kwa mara kuliko Madagascar au Tanzania ambazo zipo karibu nayo?
Kwa sababu hakuna wakati maalumu wa kujifunza juu ya matukio ya kijiografia. Unaweza utajifunza kabla ya tukio, wakati wa tukio au baada ya tukio.Mbona hukuyaleta haya kabla?
Mwalimu mshamba sana....sababu kubwa ni MUNGU ametuokoa.Kimbunga ni upepo unaozunguka kiini chenye mgandamizo Mdogo kinyume cha saa upande wa Kaskazini wa Dunia na kama saa upande wa kusini wa Dunia. Mantiki ya mzunguko hapa inajengwa na namna mshale wa saa unavyozunguka.
Upepo huu huongeza mwendokasi wake kadiri unavyozunguka. Inakadiriwa mwendokasi unaweza kufikia kilomita 150 kwa saa. Vimbunga katika ukanda wa kitropiki vinaweza kuendelea kuanzia masaa kadhaa mpaka wiki mbili. Wastani wa muda wa uhai wa kimbunga ni siku sita.
Bahari ni chanzo muhimu sana cha nguvu za vimbunga kwa kupitia njia ya kuzalisha joto katika nyuso zake " joto hisi" na pia kufukiza kwa maji. Joto hili na mvuke wa maji hugandamanishwa na kuzalisha "joto fiche".
Vimbunga vinaposafiri kuelekea Nchi kavu hupoteza joto fiche na hivyo mzunguko wake kudhohofika mara dufu.
Tanzania ni miongoni mwa Nchi zinazopitiwa na vimbunga mara chache sana kutokana na ukaribu wake na ukanda wa Kiikweta ambapo kani inayosukuma mzunguko wa hewa iitwayo Coriol ni ndogo mno. Hali hii huvifanya vimbunga kukosa nguvu ya kuzunguka zaidi na hivyo madhara huwa ni madogo.
Nguvu ya Coriol ni kani ya kufikirika inayoelezea mpindo wa vitu vinapotembea katika latitude ukiwianisha na kuviangalia city hivyo katika Dunia.
Tanzania inapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kubwa hususani katika suala zima la kupunguza uchafuzi wa maji ya bahari ili kupunguza mazingira ya kuzaliwa kwa vimbunga au kuviongezea nguvu
Mwl. Mlaki
Geog dept, 2021
Hapo katkat kasema kwa tanzania sio rahisi kupata madhara, mwisho tuendelee kuchukua taadhari sijui alimaanisha niniHapo mwisho kama umetumia tafsiri ya google....hueleweki!!!
Jibu tamu sanaKwa sababu hakuna wakati maalumu wa kujifunza juu ya matukio ya kijiografia. Unaweza utajifunza kabla ya tukio, wakati wa tukio au baada ya tukio.
Hiyo ni geogrphy department kama sijamkosea!Hapo mwisho kama umetumia tafsiri ya google....hueleweki!!!
Nguvu ya Coriol ni kani ya kufikirika inayoelezea mpindo wa vitu vinapotembea katika latitude ukiwianisha na kuviangalia city hivyo katika Dunia.Hiyo ni geogrphy department kama sijamkosea!
Kwan hujui tabia ya binadamu?Mbona hukuyaleta haya kabla?