Sababu zinazopelekea Jasusi (Spy) kuisaliti nchi yake

H
ahsante mkuu, nimejfunza kitu kutoka kwako. Ila kumhandle double agent ni sensitive sana kwa sbb mda wowote royalty yake inaweza kubadilika na asijulikane. Hasa km huko watamgundua, anaweza kupewa wrong information azifeed[/QU
Ili afanye nini? Who is She by the way? Nini Gentamycin, kitu Tazocin

Hahahahaha za mahengo bambo uzikoki?
 
Y bull shit mi nilipenda jamaa alivyokuwa deep cover mpka agents wenzake hawakumjua na alikuwa anaripoti to only one person to me was nice how clandestine he was
Hahahahahahahahaha sawa mkuu wangu He was deep in covert but Every has his day.
 
wakuu wa kazi, taaluma ya ujasusi ni taaluma ya watu wenye mashaka sana (profession of skeptics) ujasiri na umakini wa hali ya juu sana. spy hapaswi kuamini kiumbe hai chochote kwa 100% hususani binadamu.

Kwa kuzingatia weledi wa kazi yake, spy anapaswa kujiuliza lolote linalotokea mchoni pake ama kwenye masikio yake kuwa ina athari gani katika usalama wa nchi, hivyo watu wa namna hii wanapaswa kuwa makini kwa zaidi ya 2000%
 
Ahsante Mkuu
 
alafu ya kiaskari, hii taaluma inahitaji vijana ambao ni sharp-minded, agile and too swift kwa kiasi kwanza vijana wanakuwa wabunifu wa mbinu mbalimbali za kuweza kufanikisha kazi zao na si lazima kukazania kile walichofundishwa na chuoni kwao, ili mradi hawakiuki kanuni na misingi ya majukumu yao.

Nakumbuka kwa mfano mossad, huwa hawaruhusu assassination method moja, kutumika katika mission zingine zote zitakazofuata ili kuepuka kwa agents kukamatwa kwa maana kwa kila tukio la kihalifu katika hostile country, vyombo vya usalama hufanya assessment ya kuangali wapi kulinkuwa na loopholes zilizowezesha mission ya maadui kukamilika.

Yangu hayo tu kwa leo.
 
trust it can kill you.............!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…