Sababu zinazopelekea Jasusi (Spy) kuisaliti nchi yake

Sababu zinazopelekea Jasusi (Spy) kuisaliti nchi yake

Kazi za ujasusi zisikie kwa watu tuu yaani full risky moja aikai mbili aikai.
Unawinda uku unawindwa
 
kazi za hatari sana hizi hata sizitaki mie, yaani wakikuhisi tu familia haipo daaah

Lakini, kazi hii kama haipo basi hakuna taifa na taifa bila hiki kitengo hilo si taifa kamili.
 
Hakuna kazi isiyo na hatari kama usipo fuata misingi na guidelines za kazi yako......
Kazi za ujasusi zisikie kwa watu tuu yaani full risky moja aikai mbili aikai.
Unawinda uku unawindwa
Kuna nchi nyingine ukiwa jasusi unapata raha sana, hakuna mikiki mikiki wala nini, Kama ile nchi ambayo kila kiongozi wa dunia lazima awe na account yake ya bank.
 
Naomba mnitajie movie kali za haya mambo ya spies....
 
Kazi ngumu sn hiyo inaweza kutokea wamekuframe km umeona movie ya salt.mambo ya intelligence mazur sn
 
Kazi ngumu sn hiyo inaweza kutokea wamekuframe km umeona movie ya salt.mambo ya intelligence mazur sn
Evelyn salt hakuwa ameframiwa yy hakutaka ku execute plan so mother Russia sent some in to force her
 
Evelyn salt hakuwa ameframiwa yy hakutaka ku execute plan so mother Russia sent some in to force her
Pale walikuwa activated yeye na yule jamaa mwingine, yule mzee kukamatwa ilikuwa ndio mpango wenyewe ili akawa-activate na yule mzee ndiye aliye mtrain Salt.

kilichomuudhi kwa mujibu wa movie ni kuuawa kwa mpenzi wake.
 
Pale walikuwa activated yeye na yule jamaa mwingine, yule mzee kukamatwa ilikuwa ndio mpango wenyewe ili akawa-activate na yule mzee ndiye aliye mtrain Salt. kilichomuudhi kwa mujibu wa movie ni kuuawa kwa mpenzi wake.
Evelyn salt being a spy hakutakiwa Ku react like that ilisha kuwa weakness kwake that's why walimuua yule jamaa mbele kumaanisha none is above mother Russia kuhusu kuactvate hapana koz stl walikuwa na yule jamaa aliyemteka president later so alijua koz wangeweza kumtumia resident refer allegiance
 
Naomba mnitajie movie kali za haya mambo ya spies....


The November Man 2014
- Pierce Brosnan yule jamaa wa movie za James Bond.

Kwenye hii movie yeye anaitwa Peter Devereaux, wakubwa wa CIA wanamuomba atoke kwenye kupokea pensheni ili aingine Russia kumtoa msichana aitwae Natalia ambae yumo Russia akiwa kama mwakilishi wa CIA lakini ni raia wa Russia.

Huyu msichana amepata jina la mtu ambae anataka kumharibia mgombea mtarajiwa wa uraisi wa nchi hiyo.

Ni movie nzuri kwa kuanzia na inafanana na movies za Bourne na zile za 007.

Movie nyingine kali ya spies inaitwa AWOL-17 ya mwaka 2015, ambapo jamaa mwanajeshi anaitwa Conrad Miller (jina lake halisi Luka Gross) anatuhumiwa kuuza siri za kwa KGB wakati wa vita baridi.

Anapogundua kwamba kimenuka na kuna mwenzie anaitwa Myron (jina lake halisi Bokeem Woodbine) ndie amepewa kazi ya kumsaka na kummaliza.

Lakini Myron anataka kuanza na kumuua mpenzi wa Miller ambae ni mtoto bomba kwelikweli na hilo Miller anaona haiwezi kutokea na ndipo utamu wamovie unaponoga.

Halafu mwaka huu Bruce Willis amekuja na movie kabambe inaitwa The Extraction.

Kwenye movie hii Bruce Willis alicheza kama jasusi aliestaafu anaitwa Leonard Turner anatekwa na kundi la magaidi na wanatoa onyo kali kama madai yao hayatasikilizwa kabla ya kumwachia Turner.

CIA wanaamua kumpa kazi ya kumuokoa Turner kwa mwanamke aitwae Victoria ambae ni mmoja wa majasusi hatari wa kike ambao idara hiyo imewahi kuwa nao.

Victoria anapewa jukumu la kuwatafuta magaidi hao, kumuokoa Turner na kuokoa maisha ya mamilioni ya watu.

Ni moja ya movie kiboko kwa mwaka huu.

Ntakushushia zingine nikipata muda.
 
Evelyn salt being a spy hakutakiwa Ku react like that ilisha kuwa weakness kwake that's why walimuua yule jamaa mbele kumaanisha none is above mother Russia kuhusu kuactvate hapana koz stl walikuwa na yule jamaa aliyemteka president later so alijua koz wangeweza kumtumia resident refer allegiance

Evelyn Salt alikuwa ni mfungwa Korea Kaskazini na nchi hiyo ikataka ibadilishane wafungwa kwa Marekani kumuachia mfungwa wa kisiasa kutoka Korea Kaskazini.

Lakini Marekani hawakutaka iwe rahisi hivyo wakamtumia mumewe Evelyn Salt atengeneze ushahidi wa kusaidia kesi yao ya kumtoa Evelyn Salt.

Evelyn Salt kiwa amerudi Marekani kuna jamaa kutoka Russia alijisalimisha kwenye ofisi za CIA na kuomba hifadhi ya ukimbizi na katika kutoa maelezo akadai kwamba Evelyn Salt anataka kumuua raisi wa Russia ambae angehudhuria maziko ya makamu wa raisi mjini Washington.

Evelyn Salt anakataa madai hayo na kujitetea kwamba hahusiki na jambo hilo lakini CIA hawamuamini na Evelyn Salt anaamua kukimbia nyumba na familia yake.

Baada ya kukimbia anagundua kwamba mumewe ametekwa na ndipo mpambano unakuwa mkali maana mwanamke jasiri kama huyo ameporwa mume wake kipenzi.

Hii movie mwanzoni ilikuwa ichezwe na Tom Cruise lakini yeye akataka kucheza kwenye movie ingine ya Knight And Day na mtunzi wa Salt akaamua kumbadili mhusika mkuu wake kutoka mwanamme na kuwa mwanamke na ndipo Angelina Jolie akawa muigizaji.

Ni movie inayoshabihiana na zile za Bourne Trilogy kwamba labda ingekuja Salt 2 ingekuwa bomba sana.
 
Back
Top Bottom