Sababu zipi zinafanya wanaume kufurahia ngono kuliko wanawake?

Sababu zipi zinafanya wanaume kufurahia ngono kuliko wanawake?

Nimesikia mara kadhaa wanawake kuzima kitandani wakati wa tendo la ndoa sababu kubwa ni raha tamu wanazozipata, nimeshasikia kelele nyingi za utamu huwa wanatoa wanawake wakati wa tendo.😵😵 Bado naiwaza hyo research yako kama ilifanyika Duniani ama huko Pluto😉😉
Na nyie wanaume mnavyounguruma kama Simba?
 
Yes Handsome Man...
Huh, let's go cute. Haya mambo hadi ufanye tafiti bwana. Navyojua wanawake ndiyo wanaifurahia sex kutuzidi. Nyie orgasm mnayozaidi ya moja ila sisi ndiyo hivyo tena.

Wanaume tunawaza na tunakuwa na mihemko kila mara ila kunako sita kwa sita wanawake I bet mnaenjoy. Labda uwe unafanya na mtu usieyempenda. Umelazimishwa. Mazingira hujayapenda.

Women Enjoy Sex More Than Men Do, Says Science
 
huu utafiti ulifanyikia chooni ,
 
huu utafiti ulifanyikia chooni ,
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Florida State University ulibainisha kuwa wanaume wanafurahia ngono kuliko wanawake. Hii ni kwa sababu ya maumbile kuwa wanaume hawakumbwi na mawazo mengi wanaposhiriki ngono.
 
Sawa shougar nilikua namwita shemlako Smart911 aseme reson hasa ni nini !???
Kuna topic kama hii ilishawahi kujadiliwa humu...

Nikasema kwamba... Kwenye tendo la ndoa sisi wanaume tunawaza raha na utamu...
Wakati huo mwanamke anaweza kuwa anawaza mambo mengine hata maisha katikati ya tendo...

Usishangae katikati ya tendo mwanamke akakuambia... Alafu dear hivi unajua ile bajaji iliyonileta pesa nilikopa...

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukitaka kujua nani anafurahia zaidi sex kati ya me na ke, chukua kidole chako, chokonoa sikio taratibu halafu usikilizie utamu unakuja wapi, kwenye sikio ama kwenye kidole? Pili unapowashwa ukajikuna, ama kukunwa ni wapi unapata utamu?
Nmekuungaaa mkonooo 200% mkuu!!!!!!
 
Kumbe chuo cha Florida kama twaweza tu
 
Kuna topic kama hii ilishawahi kujadiliwa humu...

Nikasema kwamba... Kwenye tendo la ndoa sisi wanaume tunawaza raha na utamu...
Wakati huo mwanamke anaweza kuwa anawaza mambo mengine hata maisha katikati ya tendo...

Usishangae katikati ya tendo mwanamke akakuambia... Alafu dear hivi unajua ile bajaji iliyonileta pesa nilikopa...

[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tehtehteh Smart911 sweetheart nikitoka hapa sijui nitapikia nini ges imekata ....
 
Back
Top Bottom