Sababu zipi zinafanya wanaume kufurahia ngono kuliko wanawake?

Sababu zipi zinafanya wanaume kufurahia ngono kuliko wanawake?

daah sielew kabisa mim naona wana wake ndo wana enjoy kuliko cc sema hawana ujasil wakusema
 
Kumekuwa na dhana kuwa wanaume ndio wanaofurahia ngono zaidi ikilinganishwa na wanawake ambao sio rahisi kufikia upeo wa raha ya kujamiiana. Aidha imebainishwa kuwa wanaume chini ya umri wa miaka 60 hufikiria kuhusu ngono mara isiyopungua moja kwa siku.
article-2331561-1A05E682000005DC-592_634x398.jpg


Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Florida State University ulibainisha kuwa wanaume wanafurahia ngono kuliko wanawake. Hii ni kwa sababu ya maumbile kuwa wanaume hawakumbwi na mawazo mengi wanaposhiriki ngono.

Kwa upande wao, wanawake hutafuta wanaume wanaoingiliana nao kihisia na mtu atakayejitwika jukumu la kuwalea watoto. Aidha, utafiti mwingine ulionyesha kuwa wanawake wengi husononeka wanaposhindwa kuwatosheleza waume wao kuliko wanaume wanaposhindwa kuwarithisha wanawake wao.

Nipe maoni yako, unadhani nini kinafanya wanaume wafurahie ngono kuliko wanawake?
Unknown
 
Back
Top Bottom