Yesu mwenyewe alijiita yeye ndie Bwana wa Sabato. Tena akaivunja Sabato na akasema 'Nahitaji Rehema'.
umejuaje kama jumamosi ndio sabato ya "KWELI"?Sasa ndo ujiulize Haya majina ya siku yalitoka wapi? Na nani alieitoa sabato ya kweli na kuleta hizi siku zingine za kuabudu?
should I waste my time on this?Haya mafungu hayaoneshi ushahidi wa Yesu kufanya kazi Kama kazi! Labda unisaidie maana sioni tendo la kazi hapo na majibu ya Yesu yako wazi na yanaeleweka!
Sijui kwanini Mkuu hutaki kuukubali ukweli, umepewa AYA ila bado hutaki kuelewa. Ngoja nikuandikie kwa Kiswahili. Yohana 5:16 inasema 'Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya Sabato'.
Alitenda yapi? Hayo aliyoyatenda ndo nataka kufahamu ?!
should I waste my time on this?
no. I have better things to do
ha haa, look at you.......
Sabato ni nini?
Ni siku ya Juma au Siku ya Bwana?
Kwenye Biblia hawakuandika lini ni siku ya kwanza na lini siku ya mwisho..... Mungu ndo anajua.
Kuna shida gani mimi nikiamua Alhamis ndo itakuwa siku yangu ya Bwana?
Unaweza kunionyesha kwenye Biblia wapi wameandika Sabato ilikuwa Jumamosi?
Kwani Mkuu Biblia huisomi? Kama haupo nayo niambie nijitahidi kukuandikia hata kama natumia simu.
Mpendwa,hilo mbona linafahamika fika kuwa sabato ni jumamosi,ila kuna wakuu walioibadilisha kama ilivyotabiriwa ktk ufunuo kuwa mnyama atabadilisha sheria na nyakati.Chungwa litabaki kuwa chungwa hata uliite apple.KWANI NDUGU HUAMINI KWAMBA YESU ALIFUFUKA JUMAPILI?NA ALIKUFA SIKU YA MAANDALIO IJUMAA?Siku zinajulikana kabisa tangu zamani sema tu kibiblia zinaitwa,siku ya kwanza,ya pili,ya tatu nk.Wanadamu wakazipa majina,Sunday,monday,tuesday nk.Bt sabato inabaki kuwa ile ile jmosi/saturday/sabado hata uiite jina gani.Dog anabaki kuwa dog tu hata umuite tiger.
umejuaje kama jumamosi ndio sabato ya "KWELI"?
Nonsense!! Wangejifanya kama Paulo aliyejifanya myahud ili awapate wayudi! Akajifanya yuko chini ya sheria ili awapate walio chini ya sheria! Na wao wangejifanya si wasabato kwa mda ili lengo lao la kupata digree litimie!
Ni kwa sababu jumamosi sio siku ya kazi so hapo iko wazi watsumbuka ila watapewa tena mtihani kwa hiyo sio mpango wa bwana ni logic tu na taratibu za kazi sehemu za umma
hyo haikufanikiwa kupita agano jipya la Yesu kristo, ime X-PAYA
Niandikie tafadhali Siko karibu na bible!
well said. Ubarikiwe ndg. Na ikiwa bado tu chini ya torati basi CHRISTO aliteswa bure. I stand to
to be corrected
Weka ushahidi wewe Pimbi.... msiwe wapotoshaji kwenye maswala ambayo yanaweza kuwacost maisha ya watu wengi... Alisema sikuja kuivunja torati wala kuitengua....