SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
Yesu mwenyewe alijiita yeye ndie Bwana wa Sabato. Tena akaivunja Sabato na akasema 'Nahitaji Rehema'.

Weka ushahidi wewe Pimbi.... msiwe wapotoshaji kwenye maswala ambayo yanaweza kuwacost maisha ya watu wengi... Alisema sikuja kuivunja torati wala kuitengua....
 
Sijui kwanini Mkuu hutaki kuukubali ukweli, umepewa AYA ila bado hutaki kuelewa. Ngoja nikuandikie kwa Kiswahili. Yohana 5:16 inasema 'Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya Sabato'.

Alitenda yapi? Hayo aliyoyatenda ndo nataka kufahamu ?!
 
should I waste my time on this?
no. I have better things to do

Jamani nataka kufahamu ni kazi gani au ni matendo gani Yesu aliyafanya siku ya sabato! Kama unaona Unapoteza muda wako kwa hili basi hii sabato yetu utuachie wenyewe!
 
ha haa, look at you.......
Sabato ni nini?
Ni siku ya Juma au Siku ya Bwana?
Kwenye Biblia hawakuandika lini ni siku ya kwanza na lini siku ya mwisho..... Mungu ndo anajua.
Kuna shida gani mimi nikiamua Alhamis ndo itakuwa siku yangu ya Bwana?
Unaweza kunionyesha kwenye Biblia wapi wameandika Sabato ilikuwa Jumamosi?

Mpendwa,hilo mbona linafahamika fika kuwa sabato ni jumamosi,ila kuna wakuu walioibadilisha kama ilivyotabiriwa ktk ufunuo kuwa mnyama atabadilisha sheria na nyakati.Chungwa litabaki kuwa chungwa hata uliite apple.KWANI NDUGU HUAMINI KWAMBA YESU ALIFUFUKA JUMAPILI?NA ALIKUFA SIKU YA MAANDALIO IJUMAA?Siku zinajulikana kabisa tangu zamani sema tu kibiblia zinaitwa,siku ya kwanza,ya pili,ya tatu nk.Wanadamu wakazipa majina,Sunday,monday,tuesday nk.Bt sabato inabaki kuwa ile ile jmosi/saturday/sabado hata uiite jina gani.Dog anabaki kuwa dog tu hata umuite tiger.
 
Ukweli wanaujua sana ila wanapinga tu! Nimeshamuuliza ni nani aliebadili siku na kuleta Haya majina ya siku hataki kujibu!
 
Nonsense!! Wangejifanya kama Paulo aliyejifanya myahud ili awapate wayudi! Akajifanya yuko chini ya sheria ili awapate walio chini ya sheria! Na wao wangejifanya si wasabato kwa mda ili lengo lao la kupata digree litimie!
 
Ndipo Shadrack, Meshack na Abednego wakajibu wakamwambia mfalme, Ee Nebukadneza, hamna haja kukujibu ktk neno hili. Kama ni hivyo, Mungu yetu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru ile iwakayo moto; naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme. Bali kama si hivyo, ujue, Ee mfalme , ya kuwa sisi hatukubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu ulioisimamisha. Daniel 3:16-18. Songeni mbele vijana, MUNGU mnayemtumikia yu hai, atafanya jambo kwa ajili ya jija lake.
 
naona minority wakishambuliwa mods hawana tatizo, ungeguswa uislamu na ukatoliki zisingefika post kumi thread imefungwa au kufutwa kabisa.

sioni sababu kwa nini wasipewe mitihani jumapili ? kwa nini jumapili inalindwa hivi?
 
Nonsense!! Wangejifanya kama Paulo aliyejifanya myahud ili awapate wayudi! Akajifanya yuko chini ya sheria ili awapate walio chini ya sheria! Na wao wangejifanya si wasabato kwa mda ili lengo lao la kupata digree litimie!

paulo genius yaan kama mwana intelligencia wamuige hao
 
Ni kwa sababu jumamosi sio siku ya kazi so hapo iko wazi watsumbuka ila watapewa tena mtihani kwa hiyo sio mpango wa bwana ni logic tu na taratibu za kazi sehemu za umma

Kwa sheria za kazg JMT, j1 ni siku ya kazi NUSU SIKU!
 
hyo haikufanikiwa kupita agano jipya la Yesu kristo, ime X-PAYA

Has Sabbath been outdated, superseded, changed, or nailed to the cross? For I am the Lord, I do not change! Mal 3:6. Yesu Kama Bwana habadiliki! Ata neno lake halibadiliki!
 
Niandikie tafadhali Siko karibu na bible!

Baada ya hapo palikuwa na sikukuu ya Wayahud, naye Yesu akakwea kwenda Yerusalemu. Na hapa palikuwa na mtu ambaye amekuwa hawezi muda wa miaka 38. Yesu akamwambia 'Simama, jitwike godoro lako, uende'. Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni siku ya Sabato. Kwa sababu hy Wayahudi wakwambia yule aliyeponywa 'Leo ni sabato, wala si halali kwako kujitwika godoro'. Akawajibu, 'Yeye aliyenifanya kuwa ni mzima ndiye aliyenambia 'Jitwike Godoro lako, uende'. Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya Sabato. Akawajib, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi. Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwuah kwa kuwa HAKUIVUNJA SABATO TU, bali pamoja na hayo alimwita Mungu baba yake, akijifanya sawa na Mungu.
 
Walipaswa tu kutumia akili ndogo sasa wakishafukuzwa wanaona ushindi ni wa nani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Weka ushahidi wewe Pimbi.... msiwe wapotoshaji kwenye maswala ambayo yanaweza kuwacost maisha ya watu wengi... Alisema sikuja kuivunja torati wala kuitengua....

Nenda polepole na huyu Aleyn atakuelewa tu ingawa wanatia mauzi lakini yatupasa kuwafundisha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom