SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
Mungu kasema heshimu ikila mamlaka iliyoko duniani maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu. lakin pia akasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, na akasema mshike sana elimu wala usimwache sasa ukiunga mistari hii ni dhahiri kwamba utajua hawa walikosa maarifa tu.

kugomea mtihani hakukuwa sahihi ila walitakiwa wafanye huku wakimshirikisha Mungu awape break through juu ya siku yao ya ibada. mbona Mungu huwa hasemi uongo asemapo njoon tusemezane haja zenu zijulikane kwangu alimaanisha shida kama hizi ndizo tumpelekee na wala tusiamue kwa akili zetu.

ni hatari sana kuchanganya mambo ya Mungu (ya rohoni) na mambo ya mwilini. ukiamua kimwili kimwili haya ndiyo matokeo.
 
Someni wakolosai 2:16,17 msihukumiane na mambo ya sabato si kitu.hosea 2:11

Hiyo Hosea aliyekuwa anasema hayo maneno ni nani? Je Ni Mungu au Hosea? Mungu ndie aliyeweka Sabato na alisema Itunzwe.... wacha kuleta vifungu kama vya kwenye mawaidha ya waislamu
 

Swala la kutenda mema juu ya Sabato limejulikana baada ya kusema au hata kipindi kile wakati Torati ndo inaletwa?
 
Masalia acheni kuwa na infiriorty complex....Unajua mother house Hellen G White kawapotosha sana....Sasa hapa tunajaribu kuwarudisha kwenye mstari....

Tafhadhari naomba kujua dhehebu lako kisha nikuoneshe nani amepotosha kati ya ellen au mtu wako unayemuamini unaongea ovyo kwa kuwa unayemuamini kakuruhusu kula Nguluwe na ukila shetani anachekela kuwa upo upande wake
 

Thx sana
 
Coments za kuponda hawa jamaa waliofukuzwa hazileti sense kwasababu hiki ni kitu cha kiimani, na hawakufanya mitihan kwa kua imani yao haiwaruhusu, someni maana ya sabato kwanza kabla ya kuanza kuponda, it may seem stupid kwenu kwa kitendo chao lakin kina great impact spiritualy, Mambo ya imani hua yanaonekana ya ajabu in naked eyes, kwa mfano wakati wa Nuhu alijenga safina wakati mvua ilikua haijawahi kunyesha hata siku moja, watu walimuona Nuhu chizi lakini siku mvua iliponyesha ndo walipomkumbuka, Watume waliuliwa kwa ajili ya kutetea walichokiamini.Dont judge imani ya mtu, Believe whatever you want to believe but don't insult imani ya mtu
 

Walichokosea ni kuenda kusoma kwenye taasisi za shetani.... Sunday keepers wote ni watu walichini ya Mfumo wa Mungu jua...na mfumo huu unalindwa kwa nguvu za Shetani
 
Kwa nini hao wasabato wasiende kusomea uinjilisiti ili wawe wahubiri? Ya Kaisari wamwachie Kaisari! Hivi hao wasabato wakiugua jumamosi hawaendi hospitali? Stupid kabisa!!!!!!!

stupid wa kwanza ni wewe na akili zako finyu.
 
Swala la kutenda mema juu ya Sabato limejulikana baada ya kusema au hata kipindi kile wakati Torati ndo inaletwa?

Aleyn twende na kitu kimoja kimoja! Nilichokua nataka kuweka sawa ni kua Yesu hakuvunja sabato wala hakufanya kazi Kama kazi! Ila alifanya mema siku ya Sabato!
 
Unasoma Biblia kwa kubeep Nina hakika wewe ukisoma Biblia yote utajutia kwanini hukuisoma mapema katika maisha yako.... wewe endelea kusoma katesimu sijui kitu gani kile mkimaliza mnaenda kugonga bia na nguluwe mnyama asiyejichwa na najisi
 

Umenena vema sana Mkuu!
 
Aleyn twende na kitu kimoja kimoja! Nilichokua nataka kuweka sawa ni kua Yesu hakuvunja sabato wala hakufanya kazi Kama kazi! Ila alifanya mema siku ya Sabato!

Sawa nimekuelewa ila swali linarudi palepale, kutenda mema siku ya Sabato imejulikana tangu pale Torati ilipokuja ama baada ya Yesu kuja?
 
Walichokosea ni kuenda kusoma kwenye taasisi za shetani.... Sunday keepers wote ni watu walichini ya Mfumo wa Mungu jua...na mfumo huu unalindwa kwa nguvu za Shetani

Ndo maana ata wanaopinga wanaongea tu bila kujua nini sabato!
 

wewe utakuwa unafikiri kwa kutumia makalio.acha kugeneralize mambo.
kama we ni mkristo kweli fungua kutoka 20:8 .Mwenyezi Mungu alijua kuna vilaza kama wewe ndio maana amri hii ikaanza na ikumbuke siku ya sabato na uitakase.siku sita fanya kaz utende mambo yako yote lakini siku ya saba ni sabato ya bwana Mungu wako.siku hiyo usifanye kazi yoyote,wewe ,wala mwana wako,.............(malizia).
sasa usilazimishe watu wote kuvunja amri ya MUNGU kwa makusudi.
 
Inaelekea wewe si msomaji wa Biblia ehhh!!!! Yesu alikuwa anawapa makavu live, mpaka mkaamua kumtengenezea njama ya kumuua...

Mkuu nimeshasema kuwa watu hawaielewi Biblia na hata wakisoma hawaielewi. Paul ktk Timotheo wa Kwanza amesema kutakuwa na walimu wa waongo wafundishao neno kwa matakwa yao. Hawa ni moja ya wanafunzi wa hao walimu.
 
Tafhadhari naomba kujua dhehebu lako kisha nikuoneshe nani amepotosha kati ya ellen au mtu wako unayemuamini unaongea ovyo kwa kuwa unayemuamini kakuruhusu kula Nguluwe na ukila shetani anachekela kuwa upo upande wake

Ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!! Masalia jamani mna mambo....Pole pole mtelewa maana nasikia pia Wasabato walikuwa hawaogi Ijumaa jioni hadi kesho yake na ilikuwa huwaambii kitu katika hilo...Thanx Roho Mtakatifu alifanya kazi yake na hiyo sheria ilifutwa kabisa....

Soon hata hii itafutwa tuu..Pole pole ndio mwendo.....Masalia, pole pole ndio mwendo....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…