Na wakifukuzwa pia jibu lipo; kusoma chuo haukuwa mpango wa bwana au bwana ana kusudio lake na litatimia!!!!!
Wagona ntuwe. Natumaini huna ugomvi na sisi!
Imeandikwa, ...mshike sana elimu maana wengi wataangamia kwa kukosa maarifa. Hakika mtihani watafanya na wataendelea na chuo kwani ndio mpango wa Bwana, fuatilia.
Mabwana wapo wengi, yupi unayemzungumzia?? Kama ni Yehova hiyo imekula kwao, kuja kwa Yesu hatupo tena chini ya matendo ya sheria/torati kwa maana Haki haipatikani kwa matendo ya Sheria UKO VIZURI KABISA KWA MAELEZO YAKO!

Unahitaji maombezi
Ndio wale wa zamani au kuna wengine tena wamefukuzwa?
.Bwana alisema ukimtegemea hatakufanya mkia bali kichwa. Bwana atawaonyesha njia muda si mrefu
Na wakifukuzwa pia jibu lipo; kusoma chuo haukuwa mpango wa bwana au bwana ana kusudio lake na litatimia!!!!!
hii!!!!...watu mpaka x-mass an Eid tumefanyaga mitihani we unaongea jpill...uliza Sua na MUccob's.ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.
hii imekaaje wakuu, katiba iliyopo inazungumziaje issue hii!
Hiki chuo kifungwe tu. Huku ni kuvunja haki ya watu na wakizinguliwa waende mahakamani.
Bwana alisema ukimtegemea hatakufanya mkia bali kichwa. Bwana atawaonyesha njia muda si mrefu
Imebaki raha moja tuu ya Sabato kwa watu wa Mungu
mabwana wapo wengi, yupi unayemzungumzia?? Kama ni yehova hiyo imekula kwao, kuja kwa yesu hatupo tena chini ya matendo ya sheria/torati kwa maana haki haipatikani kwa matendo ya sheria bali kwa imani'galatia 2:16' galatia 2:21, ibrahimu alihesabiwa haki kwa imani. Na sabato ilikuwa ni agano la mungu na wana wa israel tu 'hesabu 31:16-17'. Ukisoma galatia yote nadhani hautakaa tena chini ya sheria/torati.